Recent content by Snowpiercer

  1. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Wenye majina ya Kindamba wanajisikiaje?

    Selemani mitungi mishishaa
  2. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

    Trump kashasema wamefanya mazungumzo na *RESPECTED LEADERS OF IRAN. Viongozi wa kuheshimiwa 😆
  3. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Ali Larijani hajauawa ni nzima

    Iran katangaza amekufa, wewe unasema ni waongo 😆 mnatuchanganya, tumuamini nani sasa, wewe au Iran?
  4. Snowpiercer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos: Unaanzisha nani, nani benchi na nani unamuuza?

    Anaanza Modrić, Benchi De Bruyne For sale Kroos
  5. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Wataalam Aviation...hii ni nini?

    Kuliko kupoteza muda wako kusubiri waje kuongelea simba ya yanga na mengine yasiyohusiana ni bora ungewauliza google nini hutokea kwa ndege during takeoff and landing
  6. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Mkuu umeamua kuwa ndumilakuwili 😆 umemshobokea Trump kwenye mzozo wa middle east ghafla ukaona isiwe tabu ubadili gia angani 😁
  7. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Mkuu unachoripoti wewe na wanachoripoti kobazi Aljazeera muda huu ni vitu viwili tofauti 😆 tukuamini wewe mu Irani wa mwananyamala au Aljazeera walioko huko uwanja wa vita.
  8. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Usa is Israel and Israel is USA

    USA shoo shoo
  9. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Yahudi kachafukwa hapoi haboi, Houthi nae kashatandikwa kitu huko.
  10. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

    Kwamba ccm ndiyo itatengeneza ajira na sio serikali 😄
  11. Snowpiercer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

    Madrid msimu huu vipi? Kwamba hajaambulia hata taji la mbuzi!
  12. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Ni mazuri kwa kuwa yanauzwa ghali au ni ghali kwa kuwa ni mazuri?

    Nitafutie hiyo Kluger ya milioni 13 niinunue mkuu!
  13. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenyeviti wa vijiji 92 wapewa baiskeli za ufuatiliaji miradi

    Alikuwa wapi siku zote!
  14. Snowpiercer

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)

    Utekelezaji wa jambo lako ni mpaka usubiri uwe Rais wa nchi vina uhusiano gani? Hebu tueleweshe hapo.
Back
Top Bottom