Recent content by Snow leopard

  1. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

    Haki inatafutwa haijileti Ni muda muafaka wa nyinyi kumpatia jamaa haki yake
  2. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata watoto mapacha?

    Umfikirie na huyo mama maana kulea mapacha na kwenyewe sio mchezo
  3. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Hii mbona kama chai yaani mtu ujenge kwenye kiwanja majina yanasoma ya wakwe Kama kweli huyo jamaa akaanza upya tu kwenye kiwanja cha wakwe wapya
  4. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anamtukana na kumsema vibaya sana Ex wake ishi nae Kimasta, mjifunze kutoka kwa Chanuo

    Mpe miezi 2 tu ataolewa tena na sherehe juu vile wanaume wanavyopenda watu hamnazo
  5. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Hii inaitwa operation tokomeza single mother
  6. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mbona wanaomba kununuliwa bia sikuizi bar

    Suala la Kitonga halina jinsia
  7. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Siku hizi kila mtu anaomba litokee tu jambo ili mradi apate cha kusimulia JF
  8. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kwamba mara nyingi wanawake walioolewa kama wake wenza wana hasira kali ya kisasi?

    Watu wa pwani uke wenza ni common tena wala sio vita watu wanaishi kwa amani tu Wake wanavaa sare sare na wanashirikiana mpaka kumsema mume wao.
  9. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

    Aisee uzinzi sio mzuri Na mama yake unahisi anajua Na msichana analala nje halafu hakuna kitu kinatokea Kweli familia na malezi yapo tofauti
  10. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Mkeo sio mstaarabu kuna vitu alipaswa kufanya ili wewe usijisikie vibaya kama binadamu Mambo ya lift sio ya kuyaendekeza tabia ya kupenda kitonga sio poa Ila nikutoe wasiwasi watu wakiwa na mambo meusi hawajiweki wazi hivyo kama ni lift angekuwa anapanda mbali na nyumbani ili isionekane Kingine...
  11. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kuwasaidia wasaidie lakini kulea kuko palepale
  12. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Watu hamna maisha mengine zaidi ya single mothers ?!? Asking for a friend
  13. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

    Tumekubaliana bikira tu ndio kigezo mengine tutavumilia mpaka mwisho
  14. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Kwani field wanachuo huwa tunaenda kufanya nini?

    Ukienda field sio kama watu walikuwa wanakisubiria wewe uende ili ukafanye kazi zao Ni jukumu lako kuulizia sehemu inayohusika na field yako wewe unawafata watu wanapoenda Mtu hawezi from nowhere akupangie kabla wewe wenyewe hujajiongeza.
  15. Snow leopard

    JamiiForums Tanzania Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

    Vile alisema wanawake wa Tanzania wamefanyaje 😂😂
Back
Top Bottom