Recent content by snoop

  1. S

    JamiiForums Tanzania 1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

    I think for nissan is VR38DETT
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    unampangisha mtu nyumba ya milion 70 kwa dhamana ya mwezi ya 400,000. ukikuta kaondoka na bati zote asubuhi yake?? serikali wajenge zao ndo waweke hiyo sheria.
  3. S

    JamiiForums Tanzania MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    naomba kujua uzalishaji wa barick kwa mwaka na margin kwa mwaka!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    bila shaka ni kwa ajili ya ile mikeka wanayotukatia barabarai... :D:D:D:D:D:D
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya ACT Wazalendo baada ya Rais kuamuru hakimu ahamishwe

    Kama ameweza kulitamka hili hadharani akijua anavunja katiba, i wonder ni mangapi yametekelezwa chini kwa chini kinyume na katiba.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Wakasome sheria za barabarani kwani hizo leseni walizipataje...watu wameanza class d wakaja c unataka kusema hizo sheria zimetungwa jana ama!?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakiwawinda watumiaji wa JF, wanaweza wakamata?

    Hawa watu wakiwa serious, kukukamata inawezekana vizuri tu.na vile vile wewe ukiwa serious,kukukamata itakuwa sheedah...uhuru wa habari unaweza lindwa na apps and site developers...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

    It doesn't click...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Moro wamekata umeme

    Huku kukatika katika hovyo kwa umeme,ni mgao au umafia kwa watz!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wasichana wanapenda kuwa na mahusiano na wanaofanana na baba zao kimaumbile

    Hii kwenye huu ulimwengu wa kidigital,its invalid...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

    ufupi wa akili yako hauna tofauti na nukta...only retarded mind thinks conflict is a resolution
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

    anything is possible never under-estimate technology,go and search google glass...then uje u review ur comment...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    rrondo nakuunga mkono..kuwa v8 or v6 cyo sababu ya moja kwa moja..kuna additional accessories engine tuneups zinaweza fanya hata gari ya cylinder nne kuwa balaa kuliko v8...cheki nissan gtr35 a v6 car ila hamna v8 toyota ya kuisumbua kwenye normal road
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    mkuu me sidhani...nissan anajitahidi ila toyota kamzidi.. nissan ambayo imetisha so far ni nissan gtr35 ila cheki vitu ka toyota ft1 design ni hatari
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    kuna vitu vya kuangalia when judging which car is the best... horsepower,suspensions,acceleration...etc
Back
Top Bottom