Unajua watu wengi sana wamepata kazi kupitia JF, watu wengi sana tena sana wamepata matibabu husika kwa madaktari husika kupitia JF, wapo watu hata mimi ninawajua kadhaa wamepata mikopo yenye riba nafuu chanzo ikiwa ni JF, sikwambii wenye kununua bidhaa kama magari, simu, mashamba, nyumba na...