CUF yaiachia CHADEMA kata zote uchaguzi mdogo

Yule mmoja alipata za kutosha (ili asile mihogo) yupo Kanada! Mwingine zilimfikisha Rwanda tu, amerudi! Hawa wengine wengi wapo humu humu nchini!
 
Usizunguke sema hao vilaza, usifiche kwa kutaja mikoa ya Pwani.
Watu wengi wa maeneo ya pwani hawajaenda shule na pia kitendo cha kumshabikia Lipumba ni cha kijinga na kinamhitaji zaidi mtu asiye na shule kichwani, cjajua hapo ww kwa nn unashindwa kuunganisha dots wakat haihitaj akil nying kuelewa. KUWA MUWAZ KWAN WW UNATAKA KUSEMAJE KWENYE HII POINT YANGU?
 
Kwa hiyo akina Lipumba ndio watasimamisha wagombea ?

Wata foji Signature ya Maalim Seif katika form za Wagombea sio ?

Nyie ndio Mlikuwa Wabishi tulipowaambia hakuna Uchaguzi wala Mkutano utakaoitishwa bila ya Idhini ya Prof. Hata Mkutano wa Uchaguzi wa Chama 2019 utahitaji Approval ya Prof Lipumba na usipofanyika Uchaguzi 2020 ndo Fainali
 
Ulimsikia mkurugenzi wa NEC alivyosema? Kutokana na mgogoro huo kila mgombea lazima aidhinishwe na pande zote mbili hivyo hao watakao pendekezwa na kundi la Lipumba watapata wapi sahihi ya upande wa pili? Hapo tayari wamechemsha.
Namwonea huruma sana Sakaya kwa kuharibu future yake kisiasa baada ya kumfuata Lipumba anayefahamika wazi kuwa anatumika na ccm ambayo nayo inafutika

Bila ya shaka atakuwa amemgawia lile fuba alilohongwa na chama chakavu
 
Watu wengi wa maeneo ya pwani hawajaenda shule na pia kitendo cha kumshabikia Lipumba ni cha kijinga na kinamhitaji zaidi mtu asiye na shule kichwani, cjajua hapo ww kwa nn unashindwa kuunganisha dots wakat haihitaj akil nying kuelewa. KUWA MUWAZ KWAN WW UNATAKA KUSEMAJE KWENYE HII POINT YANGU?

Tutajie hiyo Mikoa iliyoenda Shule tukutajie Ujinga na Ukilaza wao!
Ushaona Watu wa Pwani wanamfagilia na kumdekia Fisadi Barabara?
 
Naona akili yako na majibu yako umekodisha je akili yako utarudishiwa lini? Hv mpinzani unakuwa na akilili ya kukodisha pole mkuu acha kutumika ila tumikia nchi yako kwa manufaa ya wengi
Nimekodosha akili yangu kubwa ili watu wengine waitumie
 
CUF inayotambuliwa ni ya mwenyekiti Lipumba hiyo ya akinqa MKETO nA Seif ni CUF koko.Hitambuliwi.WAtasemaje hawajasimamisha wagombea watu ambao hawatambuliwi na msajili.Mketo alitakiwa aseme hatujasimamisha sababu ni wanaharamu hatutambuliwi.

Cuf ya lipumba ikipata hata kata moja basi ntaamin kweli ye mwenyekiti.
 
Wakati sasa umefika tuue vyama vyote vya upinzani tuunde chama kimoja kikubwa cha kuichallenge ccm maana tukiendelea na utitiri wa vyama ccm wataendelea kutugawa hadi mwisho na 2020 tutapoteza both bara na zenji maana naona dalili ya ukawa kusimamisha mgombea urais na cuf as an individual party kumsimamisha lipumba kma mgombea na hapo wanachama wa cuf watakuwa kwenye dilemma mwisho wa siku wanapiga kura za hasira kwa ccm na cuf itajizika rasmi.
Naomba viongozi wakubaliane tu either wakubalia kuua vyama au washinikize katiba itambue coalition ya vyama ili wamuachie lipumba na uenyekiti wake na chama hewa.
 
CUF inayotambuliwa ni ya mwenyekiti Lipumba hiyo ya akinqa MKETO nA Seif ni CUF koko.Hitambuliwi.WAtasemaje hawajasimamisha wagombea watu ambao hawatambuliwi na msajili.Mketo alitakiwa aseme hatujasimamisha sababu ni wanaharamu hatutambuliwi.

Mkuu na wewe umekuwa mwana CUF leo!!!!!
 
Back
Top Bottom