Recent content by sniperl123098

  1. S

    Amsterdam Merit Scholarships for Excellent International Students!

    Dr unaweza kutupa vigezo na jinsi ya kupata scholarship c lazima huko Amsterdam nilikuwa na malengo ya kusoma nje Cku moja ila cjui naweza kupata VP scholarship kwa anaejua kutoa elimu hii asaidie
  2. S

    Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

    Acheni maskhara mwakani kigezo E mbili kama zamani nani kasema?????
  3. S

    Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

    Na mi pia ni mwanafunzi nimemaliza mwakahuu 4m 6 nimekosa point moja pcm kama Huyo nasoma kozi ya afya kutokana na ushauri diploma ya ufundi nackia ni shida upande wa ajira na kuna ugumu kidogo biology niliiacha tangu 4m 2 we unasoma nn diploma??? oyy mkuu toa namba tuongee zaid tupeane ushauri...
  4. S

    Kwa mwenye ufahamu na Course ya Optometry

    Kibongo bongo hii koz ajira ni mahospitalini tu ama VP au kunasehem zingine
  5. S

    Kwa mwenye ufahamu na Course ya Optometry

    Optometry Kwa anaeijua kozi hii na kazi zake na chuo kinachotoa nilisikia KCMC inatoa. Vipi wakuu inafaa kusoma kuna mdogo wangu anataka kusoma hatojutia?
  6. S

    Msaada kuhusu kozi ya Clinical Officer

    Naomba nimuulize mtoa thread umeshawishika nn kusoma diploma afya wakati umemaliza degree naomba nidokeze maana nilikuwa nataka kusoma IT au unaongeza CV tu????
  7. S

    Rais Magufuli: Ajira mpya zinaendelea, zilisimama kwa miezi miwili pekee

    Kwa anaejua soko la ajira ni kweli hii koz ipo sokoni ukimaliza hutasumbuka sana na ajira????
  8. S

    Nomba kueleweshwa kuhusu kozi ya Aircraft Maintanance Engineering iliyopo NIT

    Naombeni kuuliza kozi ya aircraft maintanance engineering inayotelewa kwa diploma VP ajira yake mbele na ada kwa anaejua?????
  9. S

    Naomba kujuzwa kuhusu mtihani wa SAT

    Kwa anaejua mitihani ya SAT na faida yake tujuzane Au kwa yeyote mwenye experience nayo???
  10. S

    KWA YEYOTE YULE

    Mkuu tupe hiko kingine cha kufanya kama ushauri
  11. S

    KWA YEYOTE YULE

    Pcm math D chemi E physics S
Back
Top Bottom