Recent content by snakepoison

  1. S

    1 + 1 = 1 Hesabu ngumu katika mahusiano ya mapenzi

    hiyo hesabu ya 1+1=1 katika ndoa ilikuwa ya zamani sana enzi za babu zetu,lakini kizazi cha sasa kinatamani ata isiwepo. kila mtu na namna yake yakuishi si mume wala mke anyethamini uwepo wa mwenzie ktk maisha yake. ubinafsi mwingi na kila mmoja anaangalia atavyofaidika yeye binafsi na si wote...
  2. S

    nampenda H.MDEE jamani !

    unamtafutia wapi wakati yupo dom? nenda kule na usimame karibu na lango kuu la kuingilia mjengoni, utamuona na umwambie yanayokusibu. we mwanaume bana hacha woga!!
  3. S

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    hacha uvivu ndugu mshughulishe mkeo mpaka aridhike na husijaribu kumkwepa kwa visingizio vyovyote vile maana akitoka tu nje utakuja kujuta,na uku nje kuna watu wanapiga mzigo balaa!
  4. S

    Naibu waziri mambo ya ndani:Mauaji yanayofanywa na police yanafanywa kisheria.

    hawa mawaziri wa ccm walishajichokea vichwa havifanyi kazi, mnawauliza maswali magumu namna hiyo unafikiri atajibuje!!!
  5. S

    Mtwara: Wananchi watangaziwa kutotoka usiku majumbani mwao

    poa tu, yote yana mwisho!
  6. S

    Wachina Waanza Kukimbia Kutoka Mtwara

    chines baybay!!! watupishe
Back
Top Bottom