Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
waache walale mbele kesho kutwa anakuja obama na yeye akija na mikataba magumashi tunamtoa nduki.
Hata wakolon baada ya kuzidiwa ujanja na wabongo walisepa!
Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.
CC: THE BIG SHOW ,Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Ngongo, Ritz, THE BIG SHOW, Jasusi, Mkandara, Susuviri, EMT, NasDaz, Mohamedi Mtoi, FJM, Ericus Kimasha, Kichuguu, Sangarara,RevolutionaryTZ Ng'wamapalala
Hakuna wachina wanaofanya biashara ndogo ndogo, wale ni wawekezaji wakubwa...mleta mada unapotosha umma
Hakuna wachina wanaofanya biashara ndogo ndogo, wale ni wawekezaji wakubwa...mleta mada unapotosha umma