sawa wataweka electrical generating system ya hivi sasa lakn mabadiliko ya tabia nchi tangu kipindi hicho mpaka hv sasa ni bora wangeacha tu ile Hifadhi ya Selous kuliko kuiharibu bureee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatukatai kama kitu kinasimama ila miaka mingi imekatika kila kitu kimebadilika wangefanya uchambuz upya hali ya hewa imebadilika cdhan kama kuna mvua za kutosha kama miaka hyooo
Miaka ya 70 hali ya hewa ya nchi sidhani kama ni sawa na sasa technology imebadlka sana umeme wenyewe wa kutegemea maji ya msimu ila ngoja tuone mwisho wakeee
Mambo kama haya wangefanya Askari wa kizungu kwa mtu mweusi kila mtu angeandika BLACK LIVES MATTER lakini tumefanyiana wenyewe kwa wenyewe tunachukulia kawaida sana tuacheni unafiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.