Recent content by SMOOTH

  1. S

    Hodi

    Duh hiki ndo kigezo ki mojawapo nini
  2. S

    Hodi

    Nashukuru sana
  3. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ugunduzi wa Sabuni za unga umerahisisha kazi ya ufuaji kwani ufanisi wake ni zaidi ya sabuni za kipande kama vile mshindi.
  4. S

    Tukumbushane

    Sasii Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  5. S

    Hodi

    Heshima kwenu wanajamvi. Mie hapa mgeni naomba kukaribishwa na kupewa ABC.
  6. S

    Nimeamini Dr Slaa ni Mwanasiasa hatari

    Philosophy at work.
  7. S

    Kipindi cha bibi bomba kinadhalilisha bibi zetu

    Ukweli uko wazi. Kipindi kinadhalilisha wazee wetu na anasema hakifanyi hivyo ampeleke bibi yake. I hate that show for real
  8. S

    Msaada juu ya CARTRADE VIEW

    Kwa sasa tradecarview ndio wanaoongoza kwa biashara hiyo hapa Tanzania wakifuatiwa na beforward. Trade car view gari zao ziko fresh ukilinganisha na wengine na its safe. Unaweza kulipa kwa pay trade ambao trade car view watahifadhi fedha yako hadi pale utakapothibitisha kuwa umepokea gari lako...
  9. S

    Mke wa boss wangu anadai mimba ni yangu...naomba ushauri

    Mleta mada unafurahisha kweli unavyoweka mambo hadharani inaonyesha wazi hii ni story ya kutunga. Naamini kabisa wapo rafiki wa boss wako wanaotembelea JF na kwa details ulizoweka kukupata ni rahisi sana. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  10. S

    Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Leo kidole kimeelekezwa kwa wachaga, kesho kinaweza kuelekezwa kwa wamasai, wakinga, wasukuma au kabila lingine lolote lile mwisho wa yote ni ukabila ukabila ukabila. Badala ya kujadili Tanzania tutatokaje hapa tulipo tunaanza kuhoji mambo ambayo msingi wake ni kujenga chuki miongoni mwetu. MOD...
  11. S

    Mwana fa tuzo yako iko wapi???

    Wito wangu kwa wachangiaji tujikite kwenye issue yake na Jide ila tusitumie ulemavu alio nao kwani hakupenda kuwa hivyo. Kumsema kwa kutumia udhaifu wa mwili huko ni kunyanyapaa na tukumbuke kuwa ndugu au mwanao anaweza kupata tatizo kama hilo. Samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza Sent from my...
  12. S

    Usanii wakati wa kumuaga Ngwea

    Hahaaha kazi kweli kweli Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  13. S

    Bado nakulilia Chacha Wangwe!

    Alaaaa loooh
  14. S

    Internet ya bure

    Bure gharama ndugu yangu naona umelisahau hili
Back
Top Bottom