Recent content by Smiller

  1. Smiller

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

    Mwacheni aendelee kuingiza tu ovyo ye anadhani wale wamarekani wapuuzi tu!! Soon mtasikia wamempa ka Kesi kaku tia tia mimba ovyo!! Na hapo itakuwa mwanzo wa kurudi na bag Kama alivyo kwenda.
  2. Smiller

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lulu sio top model due to its midget status

    Funguka mkuu!
  3. Smiller

    JamiiForums Tanzania I am looking for graduates and anyone who is looking for job

    Kwani mkuu wewe hufahamu tofauti ya ki swanglish na English??
  4. Smiller

    JamiiForums Tanzania I am looking for graduates and anyone who is looking for job

    Mi mwenyewe nimesikia kuanzia sasa hapa JF huruhusiwi kutumia Kiswahili au nimesikia vibaya mkuu ??
  5. Smiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia zinazochangia michepuko, ladies,don't try this at home

    Tanga hakunaga hizo vitu!! Kule mwanamke kwa kitanda analala na khanga kipande tena mbiiichi!'''' J3 mpaka Friday wew kwako weekend.
  6. Smiller

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

    Haki sawa kwa wote Ni Zamu Yetu kulelewa na vipochi manyoya!! Swala la kuachana ni Kama msiba tu hauwezi kosa sababu dawg!!!!!!
  7. Smiller

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

    Blood fool... Hapa ndipo Zile kauli za mh.Mnyika za... .......sababu ya Udhaifu wa .,,,.. .......sababu ya uzembe wa....... Nk KWANGU NIMEANZA KUONA ZINA UKWELI. Mh.Mkuu njoo huku uchukue kadi ya Chama chako siitaki tena japo uchaguzi wa Jimbo la Moshi mjini ilinipa Baiskeli.
  8. Smiller

    JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya Ya Vocha Yanatutia Umaskini

    Teh teh teh teh teh teh Cheka sana Mimi mkuu
  9. Smiller

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Nyie nyie ndio amchelewi kuleta mada hapa.... Unatembea nali IPad mkononi unamuonyesha nani barabarani? Unatembea na Smart phone mbili mkononi unamuonyesha nani??? Swali Nikuulize tu mkuu.... Ukinikuta kkoo nimekumbatia Laptop barabarani Hutonishangaa wewe au ndio yalele? By the way: mfano...
  10. Smiller

    JamiiForums Tanzania Kutoa 400k mpesa = 7200

    ACHA KEJELI MKUU!! Una maneno ya Dharau utadhani umezaliwa na Hela wakati mwenzangu na Mimi ! Kwaiyo wewe huwezi tetea jamii yako kiujumla unajiangalia wewe tu na mfuko wako? Next time usitoe hoja kipumbavu hivi.. INFACT: It's like Ume Post ukiwa busy chooni huku akili na macho yako yamelenga...
  11. Smiller

    JamiiForums Tanzania BRAND HTC DESIRE 601 8GB,4G,RAM 1GB,CPU 1.4Hz PRICE 400K

    330 uko tayari ni PM
  12. Smiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili neno nikiambiwa na mpenzi wangu napata hasira sana

    natoka hapa 1: Ndugu Mapenzi Hayana ufundi Tembea Utaona MIDUME kibao tu nayenyewe inalalamika IMECHEZEWA na Watoto wa kike Hata humu JF haiwezi kosekana 2: Matumizi yako ya L na R yako ki UDSM zaidi
  13. Smiller

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Usicheke mkuu nipo serious!! Maana kwanza hata sielewi huyu VODACOM ni Mtu binafsi au Company !! Naona Kama wamesha vimbiwa wateja! Nakama ndivyo basi watuambie. Mie juzi tu nimepoteza simu nimeenda ku Re-new line wakaniambia after 3 hours itakuwa on Air cha ajabu mpaka mchana huu naambiwa eti...
  14. Smiller

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Swali langu kwako VODACOM..!! MNAFUNGAJE LINE YA MTU IKIWA INA HELA M-PESA?? HAMJIULIZA TU ...TOKA LINI MTU ATUPE LINE INA HELA NDANI ZAIDI YA KUTOKUWEPO HEWANI KWA MUDA?? HAPO TU NDIPO MNAPO TUCHOSHA! KI MSINGI KUWA NA HELA KWENYE SIMU ILIFAA IWE DHAMANA TOSHA YA KUTOIFUNGA LINE.
  15. Smiller

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Swali zuri VODACOM NJOO ULIJIBU...>>
Back
Top Bottom