iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
- Thread starter
- #21
Pengine unapenda kufanya mambo yako kwa nguvu,
haumjali unataka huduma,
una kibamia anajionea kero,
hajawahi kukojoa toka mmemaliza honeymoon,
mtu atakua na hamu na sex?
Na jingine pengine na yeye ana mchepuko unampa tamuu,..anamalizia shida zake huko,
Kwa staili hiyo atakojoaje? Ila kama ana mchepuko na yeye basi tutaenda ngoma droo, shida chini unainua mikono juu,ni kubababa~banjuka tu,anaweza kunitoa jicho na kunitia ngeu wakati mtaa wa pili kuna kisosi cha kubebea...mbeleko ya mwana na udi,heshima kwa wazee waliopitisha azimio la kuoa wake wengi to fill the gaps in life