Recent content by Smile Digital Stationery

  1. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Bado umeniacha njiani, mimi bado najiuliza alikubeba kukupeleka chumban kwake, yaan ukakubali kabisa kubebwa!😇 Kuna namna ulikuwa dilema, kwa akili ya kijasusi ulipokuwa seblen ulikuwa 70% kukubali ila ulipofika chumban ndo akili ikakurud ukajikuta unakataa
  2. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Taja miongoni mwa kauli za Godbless Lema alizowahi kuzisema na sasa zimetokea au zinatokea

    Asa ile ya chadema kumkaribishaga lowasa siilikuwa ni maamuzi ya Mbowe
  3. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Taja miongoni mwa kauli za Godbless Lema alizowahi kuzisema na sasa zimetokea au zinatokea

    Huyu jamaa anakuwaga kama na kautabiri flan, mimi nayoikumbuka ni ile alowahi kusema bungeni kuwaambia wabunhe wa chama tawala kuwa "SIMNAFURAHIA WAPINZANI TUNAVYOFANYIWA NA SERIKALI, WAKIMALIZA KWA UPINZANI WATAHAMIA KWENU" Nikirejea hayo maneno yake naona kama ndo kinachotokea sasa kwa Baadhi...
  4. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Kama Simba SC hawatafanya mabadiliko kwenye uongozi, bado watakua kibonde wa Yanga SC

    Simba hashindani na Yanga, anashindana na wenzake huko nje ya mipaka ya nchi, hasajili ili amfunge yanga, anasajili ili afanye vizuri huko kwenye michuano mikubwa (nje ya Tz), na sio dhambi maana kila timu ina malengo yake, na ndo maana unawaona yanga kwenye mechi zake na simba anakaza yupo...
  5. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Smile digital stationery, faraja mpya

    Shukran mkuu, Karibu sana
  6. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Smile digital stationery, faraja mpya

    Softcopy Boss
  7. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

    Kwa mara ya kwanza maishan mwangu kupiga kura ni 2015 nikamchagua LOWASA (Marehemu), nilistaajabu baadae aliporudi kwenye Chama chake cha awali.🚮 Kuanzia pale nilijisemea "Wanasiasa wote ni matapeli tuu" na nikajiapiza sitawahi kupiga tena kura. Hata kabla hamjaanza hizi NRNE mimi tayari...
  8. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Ukitaka umpate, fanya niwe mshenga wako😄
  9. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Smile digital stationery, faraja mpya

    Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi. Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana muda wa kwenda kukaa nusu saa, lisaa au masaa stationery kwaajili ya kuchapa na kusubiria kazi zao...
  10. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

    Asa Yanga toka lini wakashinda kesi?
  11. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

    Hata siku moja usiingilie ugomvi wa Wazazi, kuwa Neutral. Ulichokiona iwe siri yako, na kama ulivyoona kwa mama ako bc huenda na kwa baba ako ikawa hvyo au isiwe hivyo. Unajiuliza kuwa umwambie mama ako kuwa anachomfanyia baba ako sio sahihi, yes unaeza fanya hvyo ila hyo utakuwa umefikisha tuu...
Back
Top Bottom