Recent content by Smartluke

  1. Smartluke

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Kama uko Lindi College of Health and Allied Sciences please DM[emoji120]
  2. Smartluke

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji849][emoji849]
  3. Smartluke

    Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

    Direct costs za universities ziko nje ya mkopo.. unatakiwa uzilipe mwenyewe direct chuoni
  4. Smartluke

    Kutokana na ujumbe huu na taarifa zilizopo hapo nikitaka ku-appeal naappeal vipi/wapi?

    Appeal window inafunguliwa mwezi wa 12 tukiwa chuo tayari na unatumia hiyo account yako ya SIPA... ni suala la muda tu sibirieni
  5. Smartluke

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Afisa mikopo wa chuo anapokea na kusainisha wanafunzi wanaoripoti.. hapo ndipo anachukua taarifa zako! Unataka kutudanganya amekujuaje mkuu kitokololo[emoji848][emoji848]?
  6. Smartluke

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Tuliomba kabla ya matokeo ya necta mkuu.. baada ya hapo kuna wengi walipoteza vigezo.. waombaji sio 92K tena
  7. Smartluke

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kwa tuliopata first batch nadhani mnakumbuka ilikuwaje.. Mida kama hii waliandika kwamba hatujapata ila baadae mambo yakawa fresh. Naamini kabisa hata leo system zitakaa sawa tuache kutisha washkaji ambao wanaosubiri batch two #sio_poa Bora ya leo mnaambiwa "wait" kuliko ule ujumbe mwekundu wa...
  8. Smartluke

    MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Namba yao WhatsApp haiko online mara kwa mara..
  9. Smartluke

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mzee shombe.. hawa washkaji bado wanayumba hakuna kipya
  10. Smartluke

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Kulikuwa na shule ngapi za PCB? Umesoma karne ya 20 unaleta mambo ya zamani huku?
  11. Smartluke

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Kweli mkuu huyo jamaa haelewi anachosema... Inabidi aelewe aina ya maswali ya sayansi kwa format ya saahz yanaulizwa namna gani! Anaweza kusema form two na akakosa yote.. lazima ajue tunatumia competence based format
  12. Smartluke

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Acha upuuzi.. fanya yanayo kuhusu mzee bb! Kwanza ww combination gani au HK's failure
Back
Top Bottom