Mimi sipo Mwanza
Ila kiukweli Arusha inapewa mbeleko na serikali,Wakati Mwanza inajengwa na Raia na Bado Ipo juu Kuliko Arusha,ingekuwa sio mbeleko Arusha ingekuwa kama Mbeya
Hili swala la kuzikwa bila kichwa linanifanya nianze kuhisi hiki kifo yawezekana NI fake( kimetengenezwa Kwa maslahi Fulani),shuleni tulisoma na kuambiwa kuwa moja Kati ya mifupa migumu Sana kuharibibika NI mifupa ya kichwa na paja,swali Ni je vichwa nimeenda wapi??
Hakuna anayefaa hapo, Wanawake wameshatuprove wright kuwa hawapaswi kuwa viongozi kwenye secta kubwa na nyeti MFano ya uraisi
Hiyo hotuba Ni ya kawaida sana Tu, Ni mtu anapitia hotuba anakuja kutema yai sasa sijui umewalinganisha Kwa vigezo gani na ilihali Sisi hatutaki hiki chama cha wanamtandao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.