Recent content by Smart lady in one and two

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Au ww ni babe wangu jmn.. Maana jana usiku tulikuwa tunachati hiyo issue ya kujifunza kupika na kwenda kutia aibu UKWENI.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wanaosema hawako katika mahusiano na mwanaume yeyote ni hatari kwani wanajiuza

    Umekunywa chai mkuu.. Au nikuache uishi maisha yako Tajereeeeeee
  3. S

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Ila ww Mshana Jr wa muda ww baba.. Kuna mdada alikuwa anaitwa Lara 1. Yupo wapi jmn?? Siku nyingi sana zimepita sijasoma thread zake.
  4. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kweli bhn.. Kidogo unapata matumaini kwamba muda wowote mambo yanaweza kubadilika.
  5. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mm account yangu nimeona PASSED AND STORED IN THE DATA BANK. KWAIYO WAKUU NIENDELE KUWA MVUMILIVU AU NIKALIME ZANGU MAKETE HUKO NDANI NDANI.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Anunuliwa mwewe wa Billion 1.1 kama zawadi ya birthday

    Duh haya maisha hayapp fair kabisa.. Mwenye chochote jmn anitumie please
  7. S

    JamiiForums Tanzania Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

    Nasikia na posho wamesaini.. Pesa ya usumbufu na ya maji
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

    Wimbo wa Christian Bella.. Kuachwa kuachwa. Ukufariji mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Mm binafsi, sina baya na wahaya, Wote peponi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Maneno kuntu.. Sex siyo kitu cha kunyimana. Tuache uchoyoo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Me naona aendelee tu kuwanyoosha.. Haiwezekani mtu hujawahi kumuona live alafu kila siku uwe unamtumia hela, eti ya mchezo. Kwani hizo hela huwezi kuweka ww mwenyewe? Alafu alishasema ukicheza michezo yake uende na akili timamu, maana yeye hana hizo akili.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Nashindwa kuelewa
Back
Top Bottom