okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,235
- 3,490
Hujawahi acha hii tabia mpaka leo??🤣🤣zito kesha pita...kule kuna waislamu wenzake, hawampi mkristo
Hujawahi acha hii tabia mpaka leo??🤣🤣zito kesha pita...kule kuna waislamu wenzake, hawampi mkristo
Ule mfumo wa nida wewe unauchukuliaje labda?zito kesha pita...kule kuna waislamu wenzake, hawampi mkristo
hapana...ni ZitoAnayegombea ubunge Kigoma mjini kwa ticket ya ACT ni Abdul Nondo
Hapana kwakuwa wengine wameisha jiweka wazi kwenye hisia za kidini itabidi tumchague zito kiimani kama isingekuwa wakristo kumchukia samia kwa sababu zakidini zito asingepitaZitto Kabwe hamuwezi kabisa Baba Levo kwenye ulingo wa siasa za Kigoma
Mlale unono 🙏
Naona unaongea kinyumeZitto Kabwe hamuwezi kabisa Baba Levo kwenye ulingo wa siasa za Kigoma
Mlale unono 🙏
Kwani huyu si hakupita kwenye kura za maoni...
Au nilisikia vibaya
Wajumbe wangese tuuKwani huyu si hakupita kwenye kura za maoni...
Au nilisikia vibaya
Basi itakuwa mama katoa amri...Alipita lakini hakushinda...
Jina la mwisho huamuliwa na kamati za chama chao...
Ukifika kwenye suala la madaraka CCM haina mshirikaNi moja ya Ile mipango yakuwapa Jimbo ACT.
ushindani utakuwa mkubwa sana Ila at the end ZZK atashinda.
safarini Khartoum Sudani.