Recent content by Smart E

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

    Inabidi alitaka atonywe kwanza ili aweke mahesabu vizuri kabla uchunguzi haujaanza? Hili halijamvunjia rekodi pia?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia 2032/August/26

    Sasa ile ya Mayan 2012 wameona haijatokea wameona bora sasa walete nyengine?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    Money wasted on a very ordinary car. Sijui niseme ni ulimbukeni alokuwa nao huyo alonunua ama vipi. This doesnt look like 800 milion shiloings car at all, its very ordinary, the interior isnt that much of a luxury to cost all that money, and whats the engine in the front? Could be an ordinary V6...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Joyce Banda Tanzania!

    Lakini mbona Joyce Banda nae ameruhusu Useng3? Sasa tukiwa na mfano wake si tutaruhusu ndoa za mashoga na wasagaji? Unalionaje hili?
  5. S

    JamiiForums Tanzania kwa Alieoona kilichotokea juu Angani mida hii ya usiku....

    Wananchi wenzangu, kama alivosema mdau Swat, hii ni COMENT ISON, nimejaribu kutafuta picha ili niulize waliona kama imefanana, nilipowaonesha ya comet wakasema ndio walichoona, sikusita nkaanza kugoogle kuhusu comet na nikakutana na Comet Ison, ambayo katika ukurasa wa wikipedia wamesema kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania kwa Alieoona kilichotokea juu Angani mida hii ya usiku....

    Lunar eclipse itatokea october 18 mkuu, kilikuwa kitu kingine for sure, is it a Comet? Au kama alivosema mdau apo juu nyota imekufa?? Nimepata maelezo mengine kuwa kiwingu, katikati kama kulikua na nyota ivi ndogo, then ilikuwa inatembea kidogo kidogo mpaka ikafifia na kupotea!
  7. S

    JamiiForums Tanzania kwa Alieoona kilichotokea juu Angani mida hii ya usiku....

    Wakuu habari zenu. Leo wakati naelekea zangu barabarani mida ya usiku, nilipishana na watu wawili watatu ivi wao wanatoka barabarani, wakati tunapishana nkamsikia mmoja akiuliza "kile nini, nyota au?" Mi sikushughulika kugeuka nyuma kushuhudia. Sasa kuna watu wanasema wapo Dar wameona, na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania nokia wanatengeneza simu za android

    Mbona nokia wamenunuliwa zamani tu. Au hili neno buying linamaana nyengine? Nokia phone business saivi ipo under microsoft, ndio walioinunua. Na the aim ni ku vompete na Apple na kina Android. Kusema Ukweli, Nokia right now is struggling alot. Nokia nahisi will soon be another Blackberry...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Official iphone factory unlocking

    Ni lazima nijue ina lock ya mtandao gani, kama nlivomueleza mkuu apo juu, kujua price lazima unitajie model, na network locked pia kama imei blacklisted au clean. Ukinipatia vitu ivo nitaweza kukupa price
  10. S

    JamiiForums Tanzania Official iphone factory unlocking

    Bei ni tofauti, inategemeana na model, na network locked to, pia kama ni blacklisted au ni clean.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Official iphone factory unlocking

    Unlock your iphone officially now! Pm me or visit www.facebook.com/SmartElectronics
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji program ipi ntengeneze game kama fifa 14

    Mkuu unahitaji kusomea programming language kwanza maana kutengeza game kama Fifa yahitaji knowledge na mda wako.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Lazima wabunge watandikane makonde ndani ya Bunge ili heshima iwepo

    Heshima au uhuni? Heshima hailetwi kwa kupigana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Most muscular dog in the world....!!!!

    Naona alikuwa akipelekwa gym kila siku
Back
Top Bottom