nokia wanatengeneza simu za android

nokia wanatengeneza simu za android

Annael sio maneno yangu hayo, soko la dunia limeongea, Google wali announce 1billion activation ya android devices, vifaa zaidi ya billioni 1 vinatumia android, au unataka tu ubishi
Mkuu toka siku nyingi nilishangazwa na Wafinish kug'ang'ania OS za William Gates, nilijua hapo walifanya a blunder of a century na watakuja kukwama siku za usoni, kwani wangejiunga katika community ya android wangekosa nini - wakitaka NOKIA hi-survive stiff competion kwenye mobile phone basi wa-stick na plan B ya kushirikiana na Wachina kuhunda android based NOKIA, binafsi sioni kama Windows based cellphones zitaweza kushindana na OS nyingine popular, it is 2 risky ku-invest kwenye cellphone's OS ambayo world market share yake haizidi 4%.
 
Last edited by a moderator:

mtu kama Annael hataki kabisa kukubaliana na fact hiyo,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nokia hawawezi kutengeza simu ya android coz owner mwenyewe ana os ya kwake so itakuwa ni ubwege kutumia os ya mwenzie akaiwacha yake ife ila china walikuwa wakitengeza nokia under leseni ikawa inaitwa nokia asha na juzi tu wametoa simu ikiwa na os tofauti na nokia sasa hawa kwa kuwa ni wachina wanaweza kujitenga na microsoft wakabaki kama asha pekee na sio nokia asha na hapo wakaweka android
 
Mbona nokia wamenunuliwa zamani tu. Au hili neno buying linamaana nyengine? Nokia phone business saivi ipo under microsoft, ndio walioinunua. Na the aim ni ku vompete na Apple na kina Android.

Kusema Ukweli, Nokia right now is struggling alot. Nokia nahisi will soon be another Blackberry. Maana blackberry ni kama ina cancer, inajaribu kustay in market lakini ndo anazidi kujiuwa kwa kuleta BBM ndani ya android na ios (BBM was their selling point). Nokia abaki na windows tu, android ni kujitangazia kifo!
 
Kaka part ya hardware ambayo ndo ilikua inastrugle ndio ambayo inauzwa Microsoft Nokia anabaki na part 3 kubwa kabisa zenyewe nguvu kuliko hiyo ya hardware.

Part ya kwanza NSN
NSN-Nokia solution networks hii ni part inayojihusisha na kusambaza miundombinu ya network, kwa hapa Tanzania mitandao mikubwa ya vodacom na airtel wanasambaziwa na nokia. sasa hivi duniani lte ambayo ipo faster utaipata korea kusini mambo ya nokia hayo kila eneo anafika.

nsn ni quarter ya nne mfululizo inapata faida na ina mapato around 2 mpaka 3 billion usd. kuna wafanyakazi kama 50,000 hapa cheki hapa zaidi NSN Posts 4th Consecutive Quarter of Profits Despite Falling Revenues

here map
mwaka 2008 nokia alifanya manunuzi ya 3 kwa ukubwa kwenye historia ya technology kwa kuinunua kampuni ya ramani ya navteq, kampuni hii sasa hivi inajulikana kama here map na katika kila magari 5 yenye ramani duniani manne yanatumia ramani za nokia. ukiskia ramani za bing, ramani za oracle, amazon na karibia 3rd party apps zote za android za mambo ya ramani zinatumia hii database ya nokia.

CTO office
hii ndio roho ya nokia ikifa hii hakuna nokia mambo yote ya advance technology na research yapo chini ya hapa, hii part haiend microsoft inabaki nokia na kwenye lab za nokia china ndio hio simu ya android inatestiwa hahusiki microsoft huku. moja kati ya mambo nokia ameyagundua ambayo huenda hujayasikia au kufikiria ni haya

1.nfc - hii ni ushirika wa sony nokis na philips wakaleta huyu jamaa ambaye now ni famous
2.codec za kuplay video(si nokia tu ameshirikiana na watu wengine). h.264/avc na hizi mpya h.265/hevc, hii codec mpya itapunguza ukubwa wa video kwa nusu. soon utaona hd video za mb300. google wanashindana na nokia kutoa standard itayokua bora tumia hichi kama kipimo ndo utajua nokia mzima au amekufa
3.graphene- haya yanajulikana kama wonder material magumu zaidi ya chuma yanatengeneza screen, battery na macover yanatengeneza hadi chip za ndani za machine

hii ndio nokia kampuni ilioipita cocacola kwa wateja, kuna watu hawajawAhi kunywa soda ila washamiliki nokia
 
Back
Top Bottom