Recent content by Smart Daddy

  1. Smart Daddy

    SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Andika moja bora sana keep it up bro nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia andiko hili.
  2. Smart Daddy

    Juda Thadaeus Ruwa'ichi: Rais Magufuli alikuwa Mtu wa Haki

    Apumzike tu kwa aman kaacha alama nying na za kukumbukwa[emoji120][emoji120][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
  3. Smart Daddy

    Madhara ya kunyoa nywele mtoto mchanga

    Nataman kumuacha wangu ila naambiwa wachawi wanaweza zitumia vibaya
  4. Smart Daddy

    Nataka kumuoa huyu single mother

    Best upo sehemu sahihi kabisa kwa maelezo yako huyo ndiye aina ya wanawake ambao wanaume wengi tunawahitaj naongea haya kwa sababu nina experience na single mother nilimuoa akiwa na mwanaye na mpaka sasa Mungu kashatujalia mtoto mwingine tunaish vyema sana, alinikuta na watoto akawapenda...
  5. Smart Daddy

    Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

    Binadamu hawana wema hata utende vip kuna watu wana roho wanazijua wenyewe
  6. Smart Daddy

    Jinsi ya kuvaa utokapo usiku

    asante sana my future wife nami nitamshukuru MuNGU kwa kukuleta kwa ajili yangu
Back
Top Bottom