Recent content by Small Axe

  1. Small Axe

    Jitofautishe na wengine

    Uko sahihi100% umesoma unaishi kama buyaya ishi watu waone utofauti wa msomi na buyaya
  2. Small Axe

    Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

    Nijambo la aibu sana Mbeya kutokuwemo top 10..Shem on them ss aka huku kwetu tupo ndani ya Box
  3. Small Axe

    Watanzania waliushangaza ulimwengu kwenye korona, wameushangaza tena kwenye Uchaguzi Mkuu

    Raiti ugejua ushindi ulivyo patikana kamwe usinge ongea haya
  4. Small Axe

    GE2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

    Post ni nzuri lkn ipo bias unge Ongea na mazuri japo hata kidogo
  5. Small Axe

    Haya ndio maisha halisi ya Dar es Salaam

    Maisha ya swahili ni shida tupu hapo ndio tunazalisha vitoto malaya madawa ya kulevya uchangudoa ushoga Mikoani kutamu saana kama mby city hali ya hewa maji umeme nyumba bora chakula ndio sio ya kuumiza kichwa maadili
  6. Small Axe

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

    Kwani si imefanana na Magadi? Je ukitumia magagi vp.. Kaka mshana tupe na kazi ya magadi
  7. Small Axe

    Leo dereva wa bodaboda kanipa challenge

    Inaweza kua wengi lkn walio tutengenezea bike na kweny sehem za kaz sio wajinga kusisitiza kuvaa element Kama ujui unaweza kupondeka ukawa nyanga nyang’a lkn kama brain haijapata hitrafu uwezekano mkubwa wa kupona upo sasa wenzetu huduma za hosp na amburance zipo kwasana mtu kabla hajapoteza...
  8. Small Axe

    Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

    Yuko wapi benson bana natafiti za nani atashinda urais
  9. Small Axe

    Leo dereva wa bodaboda kanipa challenge

    Na ukipasua bichwa pindi mtakapo teleza Unalinda nn wakati uhai upo kwenye hatari kila sehemu
  10. Small Axe

    GE2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

    Inaonyesha ulipendezwa na tukio la kinyaama kama hilo Shame on u Eti tupo upande wa black america marekan wanavyo andamana wakati nafuu wazungu kuliko nyie
  11. Small Axe

    Bukoba: Mji wenye historia lakini kimaendeleo umepitwa na miji mingi sana nchini. Tatizo nini?

    Kiimamani Kagera yote ni lango la matatizo vita ugonjwa balaa njaa na matetemeko Nisehemu ya kuiombea saana Angalia vita ya kagera mikoa yote ya mipakani hatujawai pata vita japo tuna ma conflict kama ziwa nyasa mipaka ya kilimajaro mt nk Ugojwa balaa la ukimwi hata ebora inaweza kuingilia...
  12. Small Axe

    PSSSF ijitathimini kwa kutokulipa mafao kwa wakati

    We with draw competition So stick to the point if there is no competition there is actually no efficiency Kwanini tulivunja mifuko mingine hapo tunakosa ushindani kama tunakosa ushindani basi hakuna uwajibikaji bora Crdb ni bora tu pale akishindwanisha na nmb,postal bank nbc nk
  13. Small Axe

    Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana

    Mnataka watu kama mslngi eeh ili baadae wasujudie gamba duu kimewauma kwa mboye poleni sn
Back
Top Bottom