omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 608
- 763
Mchaga kumiliki gari au bajaji kwake yeye katoboa kimaisha.
Lol, hawayajui sijui kwa sasa.Yale mambo yetu uliyakuta pia huko?
Naona picha za mwanza hapoLinganisheni madhari ya majengo haya na Yale ya bukoba mlotuma humu
Hakuna haja ya kuandika mengi.
Uchafu gan huo unapost hapa.Linganisheni madhari ya majengo haya na Yale ya bukoba mlotuma humu
Hakuna haja ya kuandika mengi.
Hapa sio Singapore ni bukobaLinganisheni madhari ya majengo haya na Yale ya bukoba mlotuma humu
Hakuna haja ya kuandika mengi.
Mbezi temboni njia ya saranga ile lami katandika mtu binafsi watu wanayo mishiko nduguUmamua kuamuka na mji wa bukoba sio
Ukija bukoba husitake ifanane na dar es salaam au mwanza!!
Bukoba ni mji wenye utamaduni wake wa kipekee.
Bukoba kukosa stendi na soko zuri hakuifanyi kuzidiwa na sijui singida,Lindi na miji yako hio.
Vip bukoba mjini kuna shule ngap za private na serikali,kuna hospital ngap?,je bandari hujaiona na meli yake mpya? Kwanza maghorofa hujayaona ? Vip airport hujaiona? Kaitaba stadium hujaiona? Je bukoba mjini nitajie barabara ya vumbi hata moja?
Kwa hiyo we unataka majengo haya makongwe yavunje hujui kuwa historia inabaki.
Ndo maana mji unajemgwa Sana Rwamishenye na kibeta huko.
Acha kudanganya umma na propaganda zako serikali ikiamua kujenga stendi na soko itajenga maana sidhani kama kuna mtu binafsi alishawahi kujenga stendi au soko au barabara tz? Kama yupo mtaje hata kama ni kuwekeza nyumbani.View attachment 1463153View attachment 1463155View attachment 1463156View attachment 1463157View attachment 1463159View attachment 1463160View attachment 1463164View attachment 1463166View attachment 1463167
duh bora ata kwa moromboView attachment 1463190
Aibu gani hii!?
...sasa nailaumuje serikali? Sasa kama serikali si wajinga kujenga airport nzuri, basi vile vile siyo wajinga kuacha kujenga stend nzuri!
Huenda unamaanisha ni wapumbavu?