Recent content by slmmfm

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iphone 6s plus 64gb and above

    Mwenyenayo anicheck inbox chap tufanye biashara
  2. S

    JamiiForums Tanzania Anaeuza iphone 6s plus 64/128gb

    Mmiliki halali wa iphone 6s plus (64gb au 128gb) ambaye yupo tayali kuiuza ani text inbox, angalizo ''sihitaji dalali.''
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naitaji iphone 6s plus (64gb/128gb)

    Mmiliki halali wa iphone 6s plus (64gb au 128gb) ambaye yupo tayali kuiuza ani text inbox, angalizo ''sihitaji dalali.''
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naitaji iphone 6s plus (64gb/128gb)

    Mmiliki halali wa iphone 6s plus (64gb au 128gb) ambaye yupo tayali kuiuza ani text inbox, angalizo ''sihitaji dalali.''
  5. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Speaker kubwa ya sherehe au tukio, Tsh 150,000/-

    mi naitaji spika ya kutangazia biashara, niwe nachomeka frash naitia wateja. Ikiwa ya kuchaji itakua vizur zaid.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Imalampaka-Tabora

    unapafaham?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Imalampaka-Tabora

    Kama unatokea Imalampaka au unakifaham vizuri kijiji cha Imalampaka / Imalampaka primary school. Bonyeza like alafu fuata maelekezo.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

    Ushaibiwa broh, tena usiombe akae off campus hapo ndo ata jina lako hatokuja alikumbuke kipind chote atakachokua chuo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Hv naweza kufunga radio na screen kwajili ya kusikiliza na kuangalia video kwenye Bajaj.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Spain ni nchi nzuri kwa kufanya biashara

    Bajaj mpya huko sh ngapi?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa mikopo

    Je, nawezapata mkopo bank yeyote kwa kutumia hati yangu ya kiwanja kama dhamana. Kiwanja kipo town sio bush lakini kipo plan, hakina chochote. Nawasilisha.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Hiv kuna show room za bajaj kam tunavyouziwa magari?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

    Afu hiz story zenu za visimani Dahaaaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    nzuri
Back
Top Bottom