Bank cha kwanza hawaangalii dhaman wanaangalia unafanya nn kupata hela,,unaweza kupata shiling ngap ktk mwezi,unatumia sh ngp ktk huo mwezi,ziada inayobaki ni sh ngp kwa huo mwez,unaweza kurudisha vip kila mwez then ndio wanakuja kwenye suala la dhamana uliyonayo... Kiwanja kwa benk kama acces unakopa tu ili mrad uwe na biashara
Je, nawezapata mkopo bank yeyote kwa kutumia hati yangu ya kiwanja kama dhamana. Kiwanja kipo town sio bush lakini kipo plan, hakina chochote.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.