Waungwana nilitaka kujua kwa wale wanaoagiza magari toka nje ni kampuni ipi inayoagiza coaster zenye engine ya 14B na garama zake za kuagiza mpaka inafika hapa nchini kwetu.
Naitaji kuyajua makampuni hayo wanatumia majina gani kwenye wave saiti ili niweze kuingia niangalie picha za hayo magari...
Mnatuchanganya tu mtaani hali ngumu mnakuja na makelele yenu Nani anayataka mtajuana wenyewe na vita vyenu vya kuchumia tumbo chama hakina msemaji kila mtu anapayuka tu kwavile mmeshamsoma boc anapenda nini ilimpate vyeo unafki mtu watanzania siyo wajinga
Kuna kampuni moja ivi inaitwa muhele ipo mkabala na mlimani city kampuni uchwara inakopesha unaacha kadi ya ATM wateja wao wakubwa ni walimu ciku ukifanyika msako pale nafkiri watazikuta card za ATM za walimu wote Wa dar maana sio kwakuwakopesha huko alafu bonge la riba
Ipo na mtumishi haruhusiwi kukopa popote pale kupitia mshahara akibakiwa na 1 ya 3 ya mshahara wake ndomana wengi wanakimbilia kwenye izo taasisi za kipigaji
Mkurugenzi yupo sahihi sana kuna makampuni ya upigaji unaacha kadi ya ATM alafu wanakukopesha fedha kwa riba kubwa mfano mzuri kuna kampuni inaitwa Muhele ninoma
Mkurugenzi yupo sahihi sana kuna kampuni moja inatwa Muhele ofisi zao zipo mkabala na mlimani city wale jamaa wanawapiga sana watumishi hasa walimu ndiyo wateja wao wakubwa yani jamaa wanariba kubwa uspime unakuta mtu hana kitu inabidi tu wakope ukienda unaacha kadi ya ATM mwisho Wa mwezi...
Niliwai kufungua biashara ya Salon aisee nipasua kichwa hao vinyozi wenyewe wanavyoringa yani salon yangu mwenyewe ilitaka kunipeleka jela labda kinyozi uwe wewe mwenyewe
Mi nashauri hii biashara ihalalishwe wawe wanalipa kodi haki zao zisimamiwe maana serikali inapoteza mapato zaidi ya mabilion ya hela hapa na wao waangaliwe kwenye swala la magonjwa hupati leseni paka upimwe ukimwi ukikutwanao pia leseni hupati kama nchi za wenzetu maana kuzuia ningumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.