Naomba kuuliza ulaji wa mafuta kwa toyota brevis


M

Mjep

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
763
Points
1,000
M

Mjep

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
763 1,000
Wasikutishe ni matumizi yako tu mkuu, ukifunguka zaidi 120 km/h na yenyewe inafungua haswaaa lakini kama una enda chini ya hapo matumizi ni ya kawaida ila iwe katika hali nzuri
 
mavado

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Messages
1,172
Points
2,000
Age
73
mavado

mavado

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2014
1,172 2,000
Kama mshahara wako una mkopo achana na hio ndinga tafuta passo
 
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
3,187
Points
2,000
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
3,187 2,000
Usinunue hilo dude mkuu,kabisa.
 
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Messages
560
Points
1,000
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2018
560 1,000
Inategemea na ulipo
Ila kama ni mjini humuhumu ni bora utafte gari zuri jingine
Maana Brevis sio gar zur na litapitwa na wakati sio mda na linakula mafuta sana kwa golen za apa na pale, kingine ni zito sana na engine kubwa so nguvu nyingi zinatumika kuendesha uzito mkubwa kitu kinacholifanya lisiwe na acceleration kubwa na wepesi
 
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Messages
560
Points
1,000
Watery

Watery

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2018
560 1,000
But unaweza kwenda kil mpaka 4perlitre au 11 in highway
 

Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,940
Top