Recent content by Slavins

  1. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0713816904, 0754543624 na 0222701845 hizi namba nilitumiwa na voda niwasiliane na m lipa lakini nimezijaribu hazipatikan. sasa kama kuna mdau anaweza jaribu kwa hiyo ya mezan awatafute halafu atupe mrejesho
  2. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu mawasiliano ya 1bet tafadhar tokea asubuh hadi sasa pesa yangu hawajaniwekea washenz hawa, au kama kuna mtu kafanikiwa.kuweka peaa leo kwa mpesa anisaidie jins alivyofanya
  3. S

    Nitapataje mawasiliano ya admission officer wa Arusha Technical College

    Website yao haina sehemu ya maulizo mkuu zaidi ya no. ya office
  4. S

    Nitapataje mawasiliano ya admission officer wa Arusha Technical College

    Wakuu ninashida na mawasiliano ya admission officer wa arusha technical college Nina shida Mayo sana maana nimejaribu kumuelezea secretary kwa kutumia namba ya office lakini Majibu yake siyo msaada kwangu. Natanguliza shukran.
  5. S

    Msaada application Arusha Technical College

    Nimejaribu kufanya application kwa ngazi ya Diploma ila wanataka niapload cheti cha form four na ninayemfanyia hana maana kamaliza mwaka 2016. Nahitaji msaada kwa aliyefanikiwa kufanya application hicho kipengele cha kuapload cheti cha form four kwa waliomaliza mwaka 2016 amefanyaje. Asante kwa...
  6. S

    Naombeni vigezo vya kujiunga na diploma ya civil engineering DIT au UDSM

    Kwa dit kuna njia tatu za kujiunga na diploma, ya kwanza ni kwa wale wanaokuwa select direct kutoka kidato cha nne hawa wanakuwa sponsered na serikali, ya tatu ni kwa kuomba direct chuon-hii unaweza itumia kwa kuzingatia matokeo yako (kwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na nacte) na ya pili ni kwa...
  7. S

    Msaada kwa yeyote anayeifahamu kozi ya Dental Labaratoty Technology

    yote mkuu yanawezekana ila humu pia humu Jf kuna wanafunz na walimu wanaofundisha na kusomea hapo wanaweza kunisaidia
  8. S

    Msaada kwa yeyote anayeifahamu kozi ya Dental Labaratoty Technology

    Kuna kozi inaitwa Dental Labaratoty Technology inatolewa Chuo cha Afya Muhimbili. Naomba kufahamu uzuri wa hii kozi ukilinganisha na Clinical Medicine pamoja na gharama zake ili nifanye maamuzi sahihi nisije jutia baadae. Msaada kwa yeyote anayeifaham au anaeweza kuniulizia.
  9. S

    Kwa kozi za ADEM, unaweza kusoma degree ipi?

    Agency for Development of Education Management, wanatoa diploma ya uongozi wa elimu na diploma ya ukaguzi mashuleni
  10. S

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Niliposema diploma holders mwaka huu hamna mkopo wengine walinibeza na wengine walinitukana kabisa ila hebu fikiria heslb imetangaza kukamilika kwa uchakataji wa majina yote elfu 88,163 ya waliomba mikopo na kati ya hao ni wanafunzi elfu 25,183 ndiyo watakao pata miko na mpaka sasa wanafunzi...
  11. S

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Asante kwa kunisaidia mkuu kumuelewesha 'M-diploma SIME' nadahn sasa atakuwa ameuelewa mchezo
  12. S

    Third selection is out

    mmmmmhhhhh...!!!! one na zoology?:(:(:(:( ...!!!!!! ila mpe hongera zake
  13. S

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Asante kwa maelezo yako mkuu, mimi pia ni doploma holder na usifikiri kama nasema vibaya au naleta dharau ila kiukweli mwaka huu diploma kupata mkopo miujiza inahitajika. Na kama huniamin subiria utaona, itunze hii coment yangu halafu siku ukithibitisha yale niyasemayo nitafute
Back
Top Bottom