Kuna kozi inaitwa Dental Labaratoty Technology inatolewa Chuo cha Afya Muhimbili. Naomba kufahamu uzuri wa hii kozi ukilinganisha na Clinical Medicine pamoja na gharama zake ili nifanye maamuzi sahihi nisije jutia baadae. Msaada kwa yeyote anayeifaham au anaeweza kuniulizia.