Wise Sister
Member
- May 27, 2014
- 52
- 51
Heshima kwenu wadau, naomba mnisaidie mwenye uelewa. Mfumo wa nacte kufunguliwa Sasa mpaka March ni kwa waombaji wote mpaka waliomaliza form four 2016 au ni kwa miaka ya nyuma tu?
Maana nimejaribu kufuatilia vigezo naona havijawataja kidato cha Nne 2016 na hata list ya vyuo vinavyoonekana si vyote. Kama ndivyo, je maombi kwa form four wa 2016 yataanza lini? Asanteni Sana ndugu zangu