mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Nnisaidieni vigezo vya kujiunga na ordinary diploma ya civil eng kwa mtu aliyefeli au kuwa na ufaulu hafifu
asante
asante
Hakika mkuu sidhan kama ipoUdsm sidhani kama kuna diploma ya civil engineering.
Kwa dit kuna njia tatu za kujiunga na diploma, ya kwanza ni kwa wale wanaokuwa select direct kutoka kidato cha nne hawa wanakuwa sponsered na serikali, ya tatu ni kwa kuomba direct chuon-hii unaweza itumia kwa kuzingatia matokeo yako (kwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na nacte) na ya pili ni kwa kusoma pre-entry course inayotolewa kwa kipindi cha miezi mitatu kama sikosei. Hii njia ya pili inampa mwanafunzi ambaye hajatimiza vigezo kusoma hiyo kozi kisha kufanya mitihan ambapo masomo yanayofundishwa ni English, Math na Physics na watakao faulu mtihan wa mwisho hupata nafasi ya kujiunga na chuo ila anakuwa private sponsership. Nadhan n
Kwa dit kuna njia tatu za kujiunga na diploma, ya kwanza ni kwa wale wanaokuwa select direct kutoka kidato cha nne hawa wanakuwa sponsered na serikali, ya tatu ni kwa kuomba direct chuon-hii unaweza itumia kwa kuzingatia matokeo yako (kwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na nacte) na ya pili ni kwa kusoma pre-entry course inayotolewa kwa kipindi cha miezi mitatu kama sikosei. Hii njia ya pili inampa mwanafunzi ambaye hajatimiza vigezo kusoma hiyo kozi kisha kufanya mitihan ambapo masomo yanayofundishwa ni English, Math na Physics na watakao faulu mtihan wa mwisho hupata nafasi ya kujiunga na chuo ila anakuwa private sponsership. Nadhan nimekuelewesha.
asante sana mkuu
ila nisaidie kama hutojali, Je kama alifaulu vizuri sana form four ila kidato cha sita ndo kafeli?
Mie Nadhani google ndio suluhisho LA swali lako mkuu
UDSM hamna diploma courses, na vigezo vya DIT ni credit points sizizozidi 9 kwa masomo ya Physics,Maths,Chemistry au English..ufaulu wa physics usiwe chini ya DNnisaidieni vigezo vya kujiunga na ordinary diploma ya civil eng kwa mtu aliyefeli au kuwa na ufaulu hafifu
asante
Njia ya pre entry ipo vipi?Kwa dit kuna njia tatu za kujiunga na diploma, ya kwanza ni kwa wale wanaokuwa select direct kutoka kidato cha nne hawa wanakuwa sponsered na serikali, ya tatu ni kwa kuomba direct chuon-hii unaweza itumia kwa kuzingatia matokeo yako (kwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na nacte) na ya pili ni kwa kusoma pre-entry course inayotolewa kwa kipindi cha miezi mitatu kama sikosei. Hii njia ya pili inampa mwanafunzi ambaye hajatimiza vigezo kusoma hiyo kozi kisha kufanya mitihan ambapo masomo yanayofundishwa ni English, Math na Physics na watakao faulu mtihan wa mwisho hupata nafasi ya kujiunga na chuo ila anakuwa private sponsership. Nadhan nimekuelewesha.
pre entry haipo mkuuNjia ya pre entry ipo vipi?