Recent content by slave master is a slave

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huku ni kuogopa kutumbuliwa au ni kuwaajibika ? Serikali ya awamu hii inafanya kazi kwa matukio

    [emoji3] [emoji1] [emoji23] [emoji23] twende wapi ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ndio nasikia jumanne next week wanakiwasha wanafungua kozi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

    Geita mkuu ofisi zao ziko wapi ?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

    Je ? G4s utaratibu wakuapply ukoje ?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

    Je ?mkuu mimi nimemaliza mjibu wa sheria naweza pata chance suma ? Na utaratibu wa kuapply ukoje ?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Na HKL yangu

    O level umesoma science au arts
  7. S

    JamiiForums Tanzania Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

    Habari zenu wakuu naulizia jinsi ya kupata kazi suma jkt au g4s security namna gani wanaaply ? Na inachukua mda mda gani ? Mimi Nina mafunzo ya jkt mjibu wa sheria nina elimu ya form six division three na mishahara yao ikoje ?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

    Sifa za kujiunga na suma jkt au g4s security ni zipi ? Na wapi MTU anaweza kwenda ili kujiunga au aajiriwe ???
  9. S

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    Udsm ni chuo bora tz nzima huwezi compare na saut iliyoanzishwa 2000s
  10. S

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tafakuri za mwisho wa mwaka 2016

    Tz hakuna wapinzani mejaa njaa tu Lena ndoo jembe
  11. S

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
Back
Top Bottom