Recent content by Skywalker00

  1. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Dah hii ishu inaboa kinoma
  2. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania EWURA wametangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi October, 2026. Yes, ulichofikiria upo sahihi. Yamepanda!

    dah nilijua yatashuka, weekend nzima sijatoka nimepunguza safari nasubiri j5, niweke full tank, leo nacheki price nachoka...af kitu ni 2.0 tsi
  3. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu naona screenshot ya permit letter, umefanikiwa?
  4. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Academician au Non-Academician?
  5. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    yes Mkuu, mi ninachoona, ukiona ombi lako limefika utumishi, inabidi upambane juu chini upate connection kibali kitoke, ukisema unasuburia miujiza ya ESS naona itaku dissapoint....wengi wanaofanikiwa kwenye mfumo, hawa disclose kama kuna link waliitumia ku push mambo hata kama ni mwanao,kuna...
  6. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    anhaa kwenye transfer request aka attach na ile barua ya kujibiwa sio
  7. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    so kwenye mfumo aliomba kwenye transfer request ama vacancy request???
  8. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nadhani watu waliotoboa kwenye mfumo kuna some sort of connection au support walipata utumishi wakafanikisha, ila si unajua waja wachoyo wa fursa, wanakupiga tu kiswahili hata kama una ukaribu nae ila in reality ni tofauti kabisa
  9. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Dah Mkuu simshauri aende hapa, huyu jamaa nusu aniulie gari yangu
  10. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu eGA ni e-Government Authority, we ndo inabidi uangalie kirefu cha taasisi vzuri
  11. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    na jamaa hawakukupa response yoyote?
  12. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    ulijaribu kuwacheki kule walikokupa barua kuhusu swala la vacancy not budgeted kwenye mfumo?
  13. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu kwa hio baada ya kupata barua from hio taasisi nakukutana na vacancy not budgeted kwenye normal transfer, ndo uka give up kwa style hio? (kwenye hio taasisi uliopata barua toka kwao)
  14. Skywalker00

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu Ma katibu wakuu ndani ya wizara husiku huwa wana mamlaka ya kumwamisha mtumishi yoyote ndani ya taasisi yotote iliyomo wizara yake.
Back
Top Bottom