Recent content by Skyblue

  1. Skyblue

    Brand Manager – Innovation at Diageo

    Hawa jamaa lazima wakucheze magemu Yao ......hapo wananikataga maini
  2. Skyblue

    Sales Executive at Lumac Limited April, 2024

    Duuh deadline may 31 ... unaharaka Gani sasa Hadi mwez huu wa April...au umepost tu kujifurahisha serious kwel
  3. Skyblue

    Credit Sales Collector Vacancy

    Hapo kijana awe imara kivip? Unaweza elezea kidogo.....isije ikawa mtumbwi wa vibwengu....sema tione
  4. Skyblue

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Akili za watanzania buana....yaani badala ya kusubiri tuone itakuwaje lakini mmeanza mifananisho na kujitapa kuwa tz iliwasambalatisha ....Mi nikuambie tu Tz waliwafukuza tu ...walicho kifanya tz ni kama vile umeanika mpunga hafu kuku wamevamia na kuanza kula hafu wewe ukaja wafukuza ...unazani...
  5. Skyblue

    Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Sasa yeye alivyowashikilia mlango wenzie kwann akusubilia watoke wote....hafu kwann amtume mvuvi akamchukulie begi lake...na kama mlango audrolic huyo mvuvi aliyemtuma alipitia wapi....Njaaa zingine zitawaua anapepeta mdomo tu ..labda anahisi nae atapewa fulsa aliyopata dogo. Aache ushamba ...
  6. Skyblue

    Changamoto ya Madeni

    Hatari na nusu.....hiyo wenyewe hamdaiwi kweli...nauliza tu jamani.?
  7. Skyblue

    Msaada: Nimetapeliwa na mtumishi wa Serikali, Halmashauri ya Kilolo, Iringa

    We jamaa kwanza ni muongo hajui hizo dollar ni sawa na shilling ngapi za Tz...swali jamaa ulimtumia dollar au..... Kwa ushauri unamwazimaje mtu hela kama hiyo kwa ahadi ya kukurudishia jioni ...kwani jioni yake huyu jamaa ako ilikuwa ya mbali sana ? awezekani ukope mchana useme jioni...
  8. Skyblue

    Tangazo la Kazi: Sales Representative

    Hahahah halafu wanasema ni kazi ya contruct ...maana ukiwa field hukohuko unaweza ikimbia kazi......hatari na nusu ...hii kazi afanye na mke wake.
  9. Skyblue

    Kama mwenye nyumba anakaa mbali ni lazima kumtumia na ya kutolea?

    Hupaswi kutuma ya kutolea hakunaga biashara hiyo wengi tunawatumia kavu kavu...
  10. Skyblue

    Re - advertised Maafisa mauzo platinum credit Dar Es Salaam

    tehe tehe tehe.......ukiona wanarudiarudia tangazo ujue wanakimbia sana hiyo nafasi. kwanza wakopaji wengi saizi hukopa vikoba na kwene vikundi. kumshawishi mtu huku umwambie awake hati, Mara mali zake lehani nani ...
  11. Skyblue

    Freelance Business Executives at Mwananchi Communications Limited

    Jamani mwenye uelewa wa hii kazi ..ni ya payment based on commission au ikoje. tueleweshane wakubwa.
  12. Skyblue

    SoC02 Sera za kodi ,ushuru bandarini zinavyozorotesha maendeleo ya nchi

    Kwani bandarini wamejiweka au wamewekwa na mamlaka ...kama mamlaka ya juu ndiyo wamewateua na kuwajiri huna haja ya kuhoji utendaji wao..wenye mamlaka ndiyo watapima utendaji wao..
  13. Skyblue

    DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Ulitaka waibe wapi ...saiz nikupiga tu. nawe ucjekuwa unataka uteuzi!! maana kama wanazipiga karipo vyombo vya sheria .huyu unaemwambia ndyo kazi yake?
  14. Skyblue

    Hawa Funds for Africa ni matapeli?

    Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia...
Back
Top Bottom