Recent content by skunk

  1. skunk

    JamiiForums Tanzania Sikiliza na shusha wimbo wa Juma Nature - Komaa

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na ngoma hii #Komaa Isikilize au kuishusha hapa hapa JF
  2. skunk

    JamiiForums Tanzania Kingsley Ugiagble,muuaji hatari anayelindwa na ikulu ya Tanzania

    Weee nenda Leo ujifanye polisi Jamii utoe hii taarifa kwanza utaambiwa vua mkanda na viatu andika maelezo afu ingia zero na kesho asubuhi unajikuta mahakamani kwa kosa la kujihusisha na ujambazi
  3. skunk

    JamiiForums Tanzania Wengine sijui wana gundu ama nini???

    Chezea wavaa suti wewe
  4. skunk

    JamiiForums Tanzania Maiti yafungiwa stoo, magari yazuiwa kwa mawe saweni

    Aisee...picha kidogo baso
  5. skunk

    JamiiForums Tanzania Diamond Kuvuka Boda Hadi Marekani Texas

    Duuuh namshauri asiende wale jamaa wavaa suti watampa fomu zao ila its ok kuonana nawavaa suti
  6. skunk

    JamiiForums Tanzania Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

    ha ha ha acha uzembe wewe natuer hajamdis mtu ila ni ku utetea huu mziki ambao nyie wakata viuno mnaupoteza na kufanya udharaulike kwa jamii, watoto wa kiume kukata mauno nakuvaa nguo zinazo bana manake nini? na dada zao wafanye nini acha ungese wewe na ficha upumbavu wako
  7. skunk

    JamiiForums Tanzania Juma Nature na Lady Jay Dee waizungumzia Bongo Flava

    Hatimaye wakongwe wa Bongo Flava, Juma Nature aka Ramboooo na Lady Jay Dee aka Anaconda sasa naona kama wameamua baada ya kutoa wimbo mpya KAMA JANA ukiwa na mashairi makali lakini naona Juma kama anazingua hivi hebu sikiliza hapa http://hu.lk/a1tu1j9re39c
  8. skunk

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota mark 2 GX 100

    Bei reasonable but six cylinder inakunywa wese kama haina akili nzuri
  9. skunk

    JamiiForums Tanzania Toyota Hiace Super Custom Inauzwa Milioni 7.5

    Nasubiri kusikia ilikuwa inatumiwa na mwanamke
  10. skunk

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Polisi wanavyo wapiga wananchi wa ki-Ethiopian

    Hivi makah na madina ipo saudi arabia samahani lakini kwa maswali ya kitoto
  11. skunk

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo atoa kali: Amuita Zitto 'Kijana Mlafi wa Rushwa'

    Jiki au magadi
  12. skunk

    JamiiForums Tanzania Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

    B kumi na mbili wa pale wafu fm
  13. skunk

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kuepuka ukipanda DALADALA!

    Dereva tanua tuwahi
  14. skunk

    JamiiForums Tanzania mke amkimbia kwa sababu ya kuwa na uume mdogo.tumsaidie kivp wanajf??

    Aende pande za magomeni chama cha waganga wa jadi mbona watafurahi na roho zao kama si kumkimbia tena coz atakuwa kama anawatoa bikiraaa ya ukubwani
Back
Top Bottom