Juma Nature na Lady Jay Dee waizungumzia Bongo Flava

Juma Nature na Lady Jay Dee waizungumzia Bongo Flava

skunk

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
166
Reaction score
27
Hatimaye wakongwe wa Bongo Flava, Juma Nature aka Ramboooo na Lady Jay Dee aka Anaconda sasa naona kama wameamua baada ya kutoa wimbo mpya KAMA JANA ukiwa na mashairi makali lakini naona Juma kama anazingua hivi hebu sikiliza hapa http://hu.lk/a1tu1j9re39c
 
Back
Top Bottom