Recent content by skumbuzo

  1. S

    Nimeombwa hela ya kusukia

    Daaah wanawake sijui wamekuwaje iseeeee .......siku hizi..unachokisema hata Mimi kimenikuta Jana kuamkia na amount ni hiyohiyo balaaaa iseeeee
  2. S

    Usafiri jijini Mwanza

    Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa gari ndogo kwa bei Nafuu,kwa wakati wote.karibuni sana
  3. S

    Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania

    Okay nimeelewa naomba tuwasiliane kwa e-mail hiyo karebezo.bb@gmail.com.niko mwanza
  4. S

    Nahitaji Advertisement Officer

    0742265564 niko mwanza
  5. S

    Natafuta kazi yoyote njini Mwanza

    Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 35 ,niko mwanza mjini natafuta kazi yeyote ....sitajari mshahara .....niko Tayari kufanya kazi hata kwa posho. ...ya siku.elimu yangu ni kidato cha nne na nilipita kwenye vyuo tofauti ........niko Tayari kufanya kazi usiku na mchana...sehemu yeyote.napatikana...
  6. S

    Kanisingizia natembea na mke wake ilihali mimi ni mchungaji

    Mchungaji ufahi wewe....na usipotubu na kubaki kushabikia kwamba apelekwe mahakamani hakika dhambi ya uzinifu itakutafuna.kwanza kwanini uliruhusu waende polisi wakati wewe ni kiongozi wao kiroho?huna lolote wewe unammenya huyo mke wa mwenzio...
Back
Top Bottom