Natafuta kazi yoyote njini Mwanza

skumbuzo

Member
Jun 6, 2016
8
2
Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 35 ,niko mwanza mjini natafuta kazi yeyote ....sitajari mshahara .....niko Tayari kufanya kazi hata kwa posho. ...ya siku.elimu yangu ni kidato cha nne na nilipita kwenye vyuo tofauti ........niko Tayari kufanya kazi usiku na mchana...sehemu yeyote.napatikana kwa namba 0742265564
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom