Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako


shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Umetafuta Fundi wa gari yako mwaminifu na mtaram&mzoefu ujampata shoo diesel service ndio jibu lako kwa gari zote za diesel , 1kz, 1hz, 3L, 2L, pajero, dayna, canter pamoja na fusso zote pia kwa gari kubwa zote tunatengeneza carmis na pump kubwa zote SCANIA zote , IVECO, BENZ, Volvo, DAF, REYLEND, na zote zitumiazo diese. Wasiliana nasi. +255758277823
TENGENEZA NASI UFAIDIKE
Shoohenry5@gmail.com

Tunapatikana dar es salam, tabata dampo
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,991
Likes
5,593
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,991 5,593 280
mkuu upo wapi??
wapatikana wapi
 
mchakachuaji192

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
355
Likes
27
Points
45
mchakachuaji192

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
355 27 45
Pamoja na kutoa namba ya simu tunaomba maelezo wapi unapatikana mkuu?
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Shoo diesel service, inapenda kushirikiana na watu wote lengo ni mafanikio kwa kila mmoja.

Shoo diesel service inatoa ofa ya asilimia 20% kwa kila aletae kazi (auto service) katika kampun yetu atalipwa asilimia 20% ya kazi aliyoletwa pia kwa wale wenye magari service moja itakuwa na punguzo la 30% asilimia kwa gharama ya spare na ufundi karibu sasa..

TENGENEZA NASI UFAIDIKE..
Kwa maelezo kuhusu huduma zetu....+255758277823
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Tupo dar es salam, tabata. Ukija mwenyewe utapata punguzo la asilimia 30% kama charge labour na asilimia 20% kwenye spare karibu...
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Uliza tatzo, shida ya aina yyte kweny gari yako usaidiwe kiushauli sasa...
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
uliza Maswali na jinsi utakavo udumia gari yako wakati wote kutana nam sasa Kwa matatizo yote ya gari lako....
8ac0adb50a21708e06eef729c81ee3a6.jpg
 
Kiroga

Kiroga

Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
61
Likes
31
Points
25
Kiroga

Kiroga

Member
Joined Jul 28, 2015
61 31 25
Gari yangu aina ya Noah engine 3s inawaka taa ya check engine na inawaka na kuzima, je utanisaidiaje?
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Mkuu nipo kwa ajili ya gari zote zitumiazo diesel sio petrol asante
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Tunarekebisha na kutengeneza gari aina zote kwa kuzingatia ubora na maitaji ya mteja wasiliana nasi kwa sim no. +255758277823
2e8a2b52f245ecb25d72f845f7aeafb7.jpg
 
M

mganga s ibrahim

Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
8
Likes
4
Points
5
Age
41
M

mganga s ibrahim

Member
Joined Jul 2, 2016
8 4 5
Tunarekebisha na kutengeneza gari aina zote kwa kuzingatia ubora na maitaji ya mteja wasiliana nasi kwa sim no. +255758277823
2e8a2b52f245ecb25d72f845f7aeafb7.jpg
Sawa ww ni fundi wa magari. Mimi ninatumia gari Toyota Land Cruiser (hardtot -1HZ 78) ina tatizo la gear namba tano haingii, imeshushwa gear box mara tatu kwa siku lakini tatizo liko pale pale nifanyeje??? ukiwa kama fundi.
 
shoohenry

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
57
Likes
12
Points
15
Age
17
shoohenry

shoohenry

Member
Joined Jun 21, 2016
57 12 15
Shock nizer hii ni control ilioko ndan ya gear box kaz yake kuongoza na kuruhusu mpangilio wa gear.. kufa kwake inashindwa kuama kwa ajili ya kuplay gear...

Pia kuna kitu kinaitwa differential unit hii ni motion inayotokea kwenye gear liver kwa aniline ya kuruhusu gear unayo itaji..hivyo ikifa inachangia kwa matatizo kama hayo ...

Pia haya matatizo yanawza sababishwa na fundi kutokua makini katka upangaji mzima wa gear box mana gear box inaitaj umakin kuliko chochote

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,238,390
Members 475,954
Posts 29,318,999