Recent content by SKOMBA

  1. S

    Inanitisha nisaidieni!!!!!!!!!

    Pole sana kwa mkasa huu.Lakin unaonaje km huyo jamaa angekuja unakoishi ww? haya ni mawazo yangu.
  2. S

    matapeli wa mapenzi tanzania

    Mbona una wivu ww? acha wenzio wabwede.kama ulitendwa ww co wao.Let them enjoy kwa raha zao.
  3. S

    Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

    Duuu!!!!kweli jamaa ni noma yaan katuteka vibaya mno!! aturudishie chenji zetu japo nusu nusu 2.Pia safar njema mama Ngadu.Big up mkuu.
  4. S

    Anatakiwa Msichana wa Stationery & Internet Cafe

    Inaonesha kuwa haupo siliaz na tangazo lako,acha kuleta mchezo,waache walio siliaz walitumie jukwaa.
  5. S

    Natafuta kazi ya kufundisha history na geography

    Ni kweli kabisa achana na hao wazushi tu hawana jipya,wasubiri wahusika.
  6. S

    Ajira za walimu!

    Pole sana ila endelea kuvumilia utaajiliwa tu kwenye hii ajila yetu ya kujitolea i.e ualimu,kuwa mpole teacher....
  7. S

    Kipi bora kati ya haya....

    Hivi wana JF ni bora kuwa na girl au boy friend ambaye umempenda sana zaidi ya anavyokupenda au inabidi yeye akupende sana wewe zaidi ya unavyompenda? Jimwagemwage hapo....
  8. S

    Nielimishe kuhusu hili.....

    Nini matumizi au utofauti wa "ya" na "wa" ktk sentensi? wana JF naomba nielimisheni..
  9. S

    Kwa wanaume tu; Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Mmmh!! hapo busara itabidi ikae pembeni kidogo hata kama wakwe zangu wapo,yaan uvumilivu utanishinda kabisaa....
  10. S

    Kwa wanaume tu; Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Bwana Kongosho mbona hueleweki?ni lugha gani hiyo?
  11. S

    Natafuta kazi ya Ualimu wa Namba

    Uckate tamaa...endelea kustruggle utafanikiwa tu.
Back
Top Bottom