Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

kwanza nitumie hela ya tuisheni halafu maharage ya shule yashanichosha.
Ushaanza hivyo, si juzi juzi tu hapa nimekutumua kwa M-Pesa kiasi cha shilingi Elfu moja mia tano, ina maana hazitoshi? We mtoto, hujui maisha ni magumu huku mjini, umeme bei juu, mafuta usiseme, mkaa, lahaula lakhuatah! na maharage siku hizi bei yake ngoma droo na nyama. subiri mpaka mwezi wa sita nitakutumia.................ebo!
 
Sikujua kuna wanaopangiwa wakati wa kwenda kuwaona wazazi wao....asante kwa ufahamu huu mkuu...Safari njema mama Ngano
 
Sikujua kuna wanaopangiwa wakati wa kwenda kuwaona wazazi wao....asante kwa ufahamu huu mkuu...Safari njema mama Ngano
Ngoja uolewe ndio utajua MBILIMBI inaitwaje kwa Kiingereza........................LOL
 
Si ndiyo mitoto ya Jakaya ilivyo? Dawa yao ni kuwang'olea fuse ya nyama ! Unawapachikia ya dagaa, binzi, miezitatu!

Hahahaha!tushayala sn shule wala hayawezi kuwa dawa!angee nac kwa herufi kubwa tutaacha unoko!
 
Bora ulivyo mwacha aende kwa wazazi wake, sijui siku zote pombe ilikuwa kichwani hukutaka aende kuona wazazi wake.
 
Back
Top Bottom