Kuna jamaa mmoja naye hujisifia kuwa anakaa along Morogoro road, nadhani Mbezi Magufuli au Chama njiapanda kwenda Mlongazila. Nikajisemea hiiiiiii, gete gete nyandaa!!
Ngoja waje wakupopoe kwa mawe. Ni ukweli ingawa kuna kauchungu fulani hivi.
Wengi tunabangaiza life hakuna la maana na miaka inaenda kasi.
Kimaisha wengi hatujatoboa kivile isipokuwa exposure, ila full stress ya kutoboa kimaisha.
Tunaishi magetoni zaidi ya miaka 15. Huwa narudi home mara...
Kama huelewi kitu bora kunyamaza.
[emoji116][emoji116]
mkondo wa mto Gendabi na Himiti hivyo kutengeneza tope
[emoji116][emoji116]
Himiti imeingiaje hapo? Himiti ni baada ya kupita Gendi, Kona ya Singe kuelekea Kondoa kutokea Bbati. Gendabi ipo chini ya Mlima Hanang ambapo kwa mbele kuna...
Tafadhali sana naomba ulipe kodi. Kuja huku kutafuta ushauri haitakusaidia. Natoa siku 3 tu uwe umelipa, vinginevyo utakutana na vyomba vyako nje ya nyumba. Umenunua Audi New Model halafu hujajenga nyumba, unachiweza ni kuuza sura Samaki Samaki-Masaki.
"ALISIKIKA MLEVI MMOJA KUTOKA BINJU...
wao wanakuambia Kwa MITA 50,000 Hadi 85,000 hivyo mpaka kisima unamaliza ni milioni 10+.
[emoji115][emoji115][emoji115]
Ukibadili mita hizo kwenda kilomita utapata kilomita ngapi?
Hizo tarakimu vipi? Au wanzuki ipo pembeni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mirija itaziba kwa particles. Endelea tu siku moja utakuja kuomba ushauri ufanye nini ili upone.
Wakulungwa tupo wengi humu, tutakushauri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.