Recent content by Skata mtataJr

  1. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa nikaambiwa niandike barua ya kujisafisha, hili limekaaje?

    Ahsante Mkuu abunuwasi
  2. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    UCHAGUZI WA KENYA, RISASI ZA LISSU NA MATIBABU MJINI NAIROBI. Nataka nieleze ambavyo Dereva wa Mh. Tundu Lissu anavyoweza kuwa alichangia ama kwa uzembe tukio la Risasi kwa Lissu kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Nikweli kwamba watu wetu wengi wanapenda kusifiwa tu na kushabikia hivyo hawapendi...
  3. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa majibu ya swali hili.

    Nguo inauzwa 10,000/= huna pesa ukaendakukopa kwa dada 5,000/= na kaka 5,000/= jumla 10,000/= ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9,700/= ukabakiwa na 300 ukapunguza deni kaka yako ukampa 100 dada ukampa 100 ukabaki na 100 jumla kaka akawa anakudai 4,900 na dada 4,900 ukijumlisha unapata...
  4. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

    Pumba detected
  5. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

    Tupo pamoja sanaa nidhair atakua kaelewa sas wakurupukaji sanaa
  6. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    Tuombe Mungu maana Mali ni bingwa mtetez Hata sare kwetu itakuwa nafuu tutazichanga mbele kwa mbele
  7. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Brain teaser

    Changamsha bongo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo...
  8. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, sekretarieti ya chama ningefanya hivi

    Mbona ina hangover... Kamilicha
  9. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Nimechelewa kwa sababu nilikuwa naangalia particular sasa siwez kubishana na ww maana kama ningesoma na Mama ako ww ungekuwa mtoto wangu...
  10. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Haujielewi ww ni Mgeni kwenye jamvi hili tatizo lako unamaaelezo tu mengi Ila huna hoja
  11. Skata mtataJr

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwaminifu;- Nitajie Maksi Zako Kama Ulikuwa Unapata!

    Kikweli nikiwa darasa la 6 swali lililokuwa likinisumbua ni hilo la 33 mengine nilikuwa nikikosa bas kukosa umakini
Back
Top Bottom