Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Kwanza kabisa naomba kuweka wazi, mimi ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi kama ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, katika kupanga sekretarieti ya chama ningefanya kama ifuatavyo;
Kwanza kabisa kwa unyenyekevu mkubwa ningemuomba mh Katibu Mkuu wetu ndugu Kinana apumzike baada ya kazi kubwa alioifanya katika kukijenga na kukiimarisha chama chetu.
Na nafasi yake ningependekeza ichukuliwe na mh Rodrick Mpogolo, ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Bara.
Pili, nafasi ya Naibu Katibu Mkuu bara, ningependekeza ijazwe na mh Humphrey Polepole, ambaye kwa sasa ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Tatu, nafasi ya Katibu wa NEC itikadi na uenezi, ningependekeza ijazwe na mh Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Na nafasi zingine zote zibaki kama ilivyo sasa.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi