sasa nyie?mmemwacha Joseph Msukuma, Ngeleja, na Maige, mnategemea huku Usukumani/Unyamwezini watu watawaelewa hao waswahili? Nibora sana hao wawepo kwingine tu huko Uswahiini. Halafu wengine WANA KITU KINAITWA "SALALA". Mkuu amwache kabisa Mgombea atembee na akina Maige, Ngeleja, Msukuma, na pia...
Nkumba apewe agombee moja kwa moja, atashinda jimbo hilo maana ni mbunge amezoeleka na anakubalika Sikonge, ila mizengwe ya bao la mkono ndo limemuudhi kama alivyokatwa EL. Hapo akipewa Nkumba tuhesabu bado majimbo 133-1=132 kuunda serikali. Wasukuma/Nyamwezi wengi wako mapolini wanajuwa...
Kama ni kweli hii habari,tumpeni Nkumba agombee moja kwa moja, na atashinda tena. Nkumba anakubalika sana huko Sikonge mzwengwe yao ya mgori ya mkono hilo jimbo tukimpa Nkumba basi tumeongeza jimbo jipya kabisa ambalo piga ua ilikuwa si rahisi ukawa kulipata. Amini nawaambia. Wasukuma na...
Nimemsikiiza Kamanda maelezo yake, nikaona Kamanda shida yake ni Kugombea. Ila hajapata kura za kutosha. Ningekuwa mie sioni haja ya Kuhama na kutaka kugombea ubunge ACT ambapo sidhani kama atashinda kweli. Angetoa support kwa aliyeshinda, then yeye bado yuo kwenye roster in case UKAWA...
Naitamani sana Serikali ya Edwad Ngoyai Lowassa ( RAISI) na John Pombe Magufuli-PM hii nchi itanyoka sana.
Lakini hata mkienda dhmbi y kukata jina la EL. Basi Magufuli ndo Mnyamwezi pekee kuubeba mzigo huu. Vinginevyo-- UKAWA KAMA WANANAWAA!!
Aiseeeee??? inasikitisha sana hii habari. Geita bwana Aisee!!! Sisi wasukuma twaweza kusema nikupigania jimbo nini? unless alikuwa sick muda mrefu. Je Msukuma atagombea kuikabili UKAWA? maana hili jimbo mwaka huu sijui kama litakuwa retained na Chama Changu.
Magufuli si Mtu wa kusafisha, kwani anakashifa gani?. Kusema ukweli kama Raisi atatokea CCM, basi Raisi Bora ni JOHN POMBE MAGUFULI PEKE YAKE. Hakuna Waziri ndani ya Serikali ya CCM anaye mzidi Magufuli.
Magufuli, Aliselema, Alija.
Angalia kwanza jinsi alivyotangaza nia, alivyochukua form...
Ooooh, tuhesabu tayari Mpendazoe ni Mbunge. Huku ni nyumbani (Maganzo) Mwadui -kila kona ni Chadema tu, Mbunge aliyeko hajafanya kitu chochote na hafiki kwa wananchi, pia hawajawahi hata kumsikia Bungeni. Kishapu ki ukweli CHADEMA watashinda. Si hapo tu Mkoa wa Shinyanga mwaka huu ni Gumzo...
selemaga-aliselema -alija
tuko pamoja kamanda--usisahau pia solwa magamba yanatamba sana jimbo hilo-tena pale iselamagazi treatment yake iwe tofauti kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.