Ooooh, tuhesabu tayari Mpendazoe ni Mbunge. Huku ni nyumbani (Maganzo) Mwadui -kila kona ni Chadema tu, Mbunge aliyeko hajafanya kitu chochote na hafiki kwa wananchi, pia hawajawahi hata kumsikia Bungeni. Kishapu ki ukweli CHADEMA watashinda. Si hapo tu Mkoa wa Shinyanga mwaka huu ni Gumzo, sidhani kama kuna jimbo litabaki CCM. Hiyo ni kweli kabisa, sisi tuko huku Shy. Shy mjini, Solwa, Kahama, MSalala. Nenda Maswa Mash/Magh ni noma, siku hizi hakuna cha NDUHU TABU