Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,337
Ni mtazamo tu. Naiona Kwimba in Wilaya yenye vipaji ajabu.
1. Ndiyo Wilaya iliyokuwa inafua vitu vya chuma kama majembe, mikuki kabla ya wazungu kuja. Watu hawa waliitwa walongo kwa kisukuma.
2. Ni Wilaya ya kwanza kutoa chifu was kabila LA wasukuma. Hata leo Mtemi wa o anatokea Kwimba.
3. Ni Wilaya ya kwanza kutengeneza Sabuni ya mche iliyokuwa inaitwa ILULA ambapo baadaye kiwanda hiki kilihamishiwa Mwanza mjini.
4. Ni Wilaya iliyotoa wasanii maarufu Tanzania kama
Cool J. Mtoto was Dandu
Bob Haisa Nk
5. Ndiyo Wilaya inayoongelewa zaidi Leo hapa Tanzania maana
Makonda na Gwajima wanatokea Wilaya hii.
Kumbuka Misungwi ndo yalikuwa makao makuu ya Kwimba. Hata mawe matatu yanapatikana hapa.
Karibu kwa Nyongeza