Recent content by skale

  1. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana elimu Kenya ni bora kuliko Tanzania? Ona uthubutu huu

    Tusijizarau sisi watanzani, tunaweza sana tu, hiyo tekenorojia Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Mungu amrehemu, apumzike kwa amani ya bwana,. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

    Alimgusa member, hayo ndy matokeo yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

    Alimgusa membe . sasa amenuka chezea membe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania NSSF kwafukuta: Meneja mpya wa majengo NSSF anafukuza wapangaji ambao ni walipaji wazuri wa kodi

    Halo Luna pesa imepigwa eti, tumewafukuza wadaiwa sugu, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hadi kuwa Waziri na mwingine kutoka kuwa Mlinzi wa soko hadi kuwa Meya, hakika Chadema ni chuo cha uongozi

    Kaka EDDY, umenena ukweli uliotukuka, Leo MTOTO wake anamizwa ,wakati baba YAKE alichangia kuupata Uhuru Wa nchi hii, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Ingekuwa amri yangu wanaotengeneza pesa bandia ningewakata "korosho zao"

    Uchumi umeporomoka visingizio vingi vya nini, waziri sema ukweli tu ,kwanini unazunguka ? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli kuhusu kusajili line za simu: Mwanaharakati ampinga na kuiita Tanzania "Fingerprints Country"

    Hizo siku zilizoongezwa kwa watanzania waliopo vijijini simu zao zitazimwa zote, unapotoa matamko angalia uliko toka kabla hujawa kiongozi , kuwa kiongozi sio kila kitu unafahamu vingine huvifahamu, ndy maana kuchamba kwingi mwisho wake kushika kinyesi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuchukua mafao NSSF mpaka miaka 55?

    Wamebaki wazi tu ,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbunge atakayekataa kupitisha bajeti ni mpuuzi

    Huyu jamaa mpuziii sana , anavunja sheria na kuikanyaga katiba ,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada wa kuongea na Askofu huyu

    Ujumbe huo nimzuri sana , kwa viongozi wanafiki hasa wakatoliki wanafiki , nchi imechafuka wao wanashangilia
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke asiye na bikra ni kuoa mke wa mtu..

    Kweli kaka
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa madereva wa malori waendao Afrika kusini

    Vizuri kwa taaarifa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anatamba Kwamba anakula Raha huku watu wake wanaumia na mafuriko

    Kuchamba kwingi mwisho kushika kinyesi , muda ukifika tu majuto mjukuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi barabara Kimara-Kibaha: Rais Magufuli asema hakuna atakayelipwa fedha za fidia kwa kubomolewa nyumba

    Kumbe humu nchini mwetu tumevamiwa bila kuambiwa ,inamaaaana hatuna jeshi la kulinda hadi tunapewa jeshi kutoka Rwanda , ?
Back
Top Bottom