Makonda anatamba Kwamba anakula Raha huku watu wake wanaumia na mafuriko


PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,346
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,346 2,000
Hongera yake kijana.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,088
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,088 2,000
Kila zama na watu wake, hata huko nyuma walikuwepo na watakuwepo human species kama huyu.
 
S

skale

Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
13
Points
45
S

skale

Member
Joined Oct 5, 2018
13 45
Kuchamba kwingi mwisho kushika kinyesi , muda ukifika tu majuto mjukuu
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
Awauliza kina sadam Hussein .gadafi ' Patrice lumumba na kina Valentine stresser " maisha Yakoje !?

Maana sidhani kama aliwahi kula bata kama wao -- lakini hakuna mtu timamu asiyejua kilicho wakuta
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
8,458
Points
2,000
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
8,458 2,000
Awauliza kina sadam Hussein .gadafi ' Patrice lumumba na kina Valentine stresser " maisha Yakoje !?

Maana sidhani kama aliwahi kula bata kama wao -- lakini hakuna mtu timamu asiyejua kilicho wakuta
Kumbe kula bata ni noma !?
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
Nimeuliza, maana hao wengine uliowataja wamepata majanga kwa kula bata !
Ohh --sikuwa na mantiki hiyo --- but nilitaka atambue kuwa unapo pata nafasi kama hiyo huna sababu ya kuanza kujisifu na kujikweza kiasi hicho ---

No 1 knows kesho itakavyo kuwa
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
842
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
842 1,000
Ni kweli lazima ale raha na kuenjoy...si zawadi ya kudumu ya wowowo ipo bhana

Halafu wanawake bhana asa Amen ya nini hapo?
Ulikuwa na busara.inakuaje Unataka KU kengeuka.?
 
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
447
Points
500
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
447 500
namshauri akumbuke ya mfalme BELSHAZA
 
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
447
Points
500
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
447 500
wakati ukuta. walikuwepo akina belshaza
 
Mb-one

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
681
Points
1,000
Mb-one

Mb-one

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
681 1,000
Ila wamama hawa ni wanaa sasa ameen tena imekujaje....makonda ana inferiority complex ..period
 

Forum statistics

Threads 1,295,677
Members 498,336
Posts 31,219,350
Top