Recent content by skaiwalker92

  1. skaiwalker92

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu tazizo la huduma ya maji nchini

    Point kubwa sana mkuu naunga hoja [emoji106][emoji106]
  2. skaiwalker92

    Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mshahara wa mfanyakazi U.s wa kawaida kiwandani(mbeba box) ni Usd 24k upto 35k Anually! sasa huyu bi mkubwa anademand more than that kwnye leisure si kufuru hyo aisee!!
  3. skaiwalker92

    Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Tatizo alisababishe yeye alafu anakuja kutuzuga na timu za kuchunguza namna ya kutatua ushubwada mtupu. Typical politician shenanigans.
  4. skaiwalker92

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Mkuu ukikosa cha kuandika bora unyuti tu, maana hapo unachokifanya ni kama unajitekenya alafu unacheka mwenyewe. STUPID TWAT!!
  5. skaiwalker92

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    land cruiser gx 2001 , front bumper na fog light zake pamoja na front headlights na diff ya nyuma shingapi mkuu?
  6. skaiwalker92

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Naweza pata Toyota voltz, ambayo ipo Tanzania?
  7. skaiwalker92

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Uzinduzi wa daraja la Tzsh. 31M [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. skaiwalker92

    Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

    omari kinyemi mkuu sema unatafuta danguro lenye hadhi.
  9. skaiwalker92

    Wababa wanalalamika sana kutengwa na watoto wao kimawasliano hata kiuchumi. Je, shida ni nini? Wamama mnaliongeleaje hili? Watoto mnafanya haya kweli?

    Mimi binafsi hayo yalinikuta kumpenda mama pekee na kumuona baba kama sio mtu wa karibu kwangu pale nilipo pata ajira nakuanza kushika pesa, kutokana na kwamba nilikua nikimskia mama akilalama juu ya maovu ya baba kama vile kutokurudi nyumbani, kukesha nje akinywa pombe ama kuwa na familia...
  10. skaiwalker92

    Tusiligeuze Taifa letu kuwa la wamachinga, huu ni mtego mbaya wa umaskini

    Mkuu achana na Kipapanuksi huyo [emoji23][emoji23]
  11. skaiwalker92

    Fedha ya matumizi ya kawaida kuwa kubwa kuliko ya matumizi ya maendeleo ina maana gani?

    Hii ni abajeti ya mwaka 2020/21 , Wizara ya Fedha na Mipango inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi trilioni 12.39 kwa mafungu yote saba (7) kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya kiasi hicho, shilingi trilioni 11.73 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi bilioni 659...
  12. skaiwalker92

    Wakuu na-deal vipi na negative self talk?

    Download application inayoitwa Light Reader alafu udownload hichi kitabu kinaitwa. The power of your subconcious mind By Joseph Murphy. I promise you will thank me later!
Back
Top Bottom