Recent content by siyenda

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilituma kwenye email ya meneja wa tanesco mkoa wa mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkitumiwa email huwa hamjibu, sasa sijui ni aina gani ya email unayoizungumza leo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba nipate kujua tatizo ni nini kwani tangu tarehe 24 Januari 2020 ,walifanya survey kwa ajili ya kupewa bili ya kulipia umeme,lakini mpaka leo sijapewa hiyo bili ili nilipie ,ninaitwa bupe john namba yangu simu ni 0753 26 34 52 ,eneo lilipo ni Isyesye Mbeya. Tafadhali naomba kujulishwa kama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kutoa vibali maalum kwa Warundi waje kulima Tanzania

    Wanakuja kama vibarua kwenye mashamba ya watanzania hivyo ndivyo nilivyoelewa mimi, si kwamba wanapewa ardhi walime kwaajili yao; labda tuwahimize uhamiaji kufanya ufuatiliaji wa hali ya juu kuhakikisha vibali vitumike kwa malengo kusudiwa na pia muda wake ukiisha mhusika afanye maombi upya au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Uhamiaji wanakuhujumu!

    mawazo ya namna ya malilambwiga ,nchi haiwezi endelea. ukiangalia jeshi la polisi limeshindwa kutekeleza mambo mengi kwa weledi na kuna tatizo kubwa la rushwa pamoja na kuanzisha madawati mengi lakini bado hayajawasaidia wananchi .uhamiaji inahitaji kuboreshwa kwa kuweka kiongozi madhubuti...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Uhamiaji wanakuhujumu!

  7. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu umeisha au umejificha?

    ugonjwa huo unamla taratibu na mwisho wake ni ugumba au utasa,kisha anaanza kutoa lawama kwa mwenza wake
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando alishindwa vipi TBC? Je, ataweza Azam kwa Bakhressa?

    TIDO ni mtu makini na mwenye kuijua tasnia ya habari vizuri,pamoja na mkataba wake kwisha lakini kilichomuondoa pale tbc ni kipindi cha jimbo kwa jimbo kwani kiliwaumbua wengi kwa kushindwa kujibu hoja za wananchi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Haka ka'ugonjwa ni kwa wanawake wote au wangu tu?

    ni kweli hali ipo nami nishaiona na kujitahidi kulifanya au kumweleza kila inapotea tena kwa upole
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    du, karne hii bado mtu unafikiria habari kijiji na uchawi,umefirisika kimawazo kwelikweli,wenzako tunawaza jinsi ya kufanikiwa wewe unawaza uchawi, mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe.wacha wanambeya tufurahie maisha yetu,chakula tele,huduma za jamii zakutosha, hata wewe mwenyewe tunakulisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania UNIVERSITY OF ARUSHA (UaA)

    hostel hazitoshi,jiandae kupanga uraiani tu,vinginevyo uweke booking ya mapema.usihofu mambo yatakwenda ili mradi uwe umejipanga vzr kwani ada yake ipo juu
  12. S

    JamiiForums Tanzania UNIVERSITY OF ARUSHA (UaA)

    certainly,wholistic education but struggling is needed much
  13. S

    JamiiForums Tanzania UNIVERSITY OF ARUSHA (UaA)

    welcome UoA where u can get a wholistic education,balanced spiritually and physically.karibu sana UoA
  14. S

    JamiiForums Tanzania interview uhamiaji.

    si kweli watu mnatakiwa kuomba kama una au mna sifa stahiki,hayo maneno kwamba wanasubiri kwenda CCP au tayari wamepewa ndg zao ya wale waliokata tamaa.pambana mpaka tone la mwisho.ukiitwa kwenye USAILI jina gazetini na kwenye website yao
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu arusha university

    ndugu yangu,ada imepanda kwa kiasi gani yaani imekuwa shilingi ngapi kwa undergraduate?kwani nimeomba ktk chuo hicho,kozi bba in office & hrm
Back
Top Bottom